Kutokuwa na Imani na Viongozi wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.v)
Pius Pius 0

Kutokuwa na Imani na Viongozi wa Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.v)

34 people have signed this petition. Add your name now!
Pius Pius 0 Comments
34 people have signed. Add your voice!
53%
Maxine K. signed just now
Adam B. signed just now

Sisi Wanachama wa Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.v kwa Pamoja tunapinga ukiukwaji wa Katiba yetu unaofanywa na Viongozi wetu kuhusu Taratibu za Uchaguzi na Uendeshaji mzima wa Chama, Tukiwa wanachama halali tunapiga KURA YA KUTOKUWA NA IMANI NA UONGOZI hivyo idadi ikitimia, Petiotion hii itumike kama Sauti halali ya Kuwaondoa Viongozi Madarakani.

Share for Success

Comment

34

Signatures