Ewe mkazi wa Kigamboni ungana nasi katika pingamizi rasmi dhidi ya ombi la kubadilisha matumizi ya ardhi ya Kiwanja Na. 1163, Kibugumo, Manispaa ya Kigamboni, kutoka matumizi ya makazi kwenda Bandari Kavu (Inland Container Depot – ICD).
Pingamizi linatokana na athari zinazoweza kujitokeza katika usalama wa watoto na wanafunzi, mazingira, miundombinu ya barabara, afya, usalama wa jamii na ustawi wa wakazi.
Hoja kuu za pingamizi ni:
- Ukaribu na shule: Kiwanja kiko karibu na Shule ya Msingi Kibugumo pamoja na Shule za Sekondari Kibugumo na Kidete. Shughuli za ICD, hususan malori, upakiaji, upakuaji na kelele, zinaweza kuathiri mazingira ya kujifunzia na usalama wa wanafunzi.
- Usalama wa watoto na wanafunzi: Kuongezeka kwa malori, madereva, wafanyakazi na wageni katika eneo lenye shule na kituo cha usafiri kunaweza kuongeza hatari za kiusalama na kijamii kwa watoto na vijana.
- Ufinyu wa miundombinu: Barabara za eneo hilo hazijaandaliwa kuhudumia ongezeko kubwa la magari mazito. Ukosefu wa maeneo ya kutosha ya maegesho na kusubiri malori unaweza kusababisha foleni, msongamano, ajali na usumbufu wa usafiri.
- Athari kwa mazingira na afya: Shughuli za ICD zinaweza kuongeza vumbi, moshi, kelele, uchafu wa mafuta na taka, ambazo zinaweza kuathiri afya na mazingira ya wakazi.
- Changamoto za kijamii na kiusalama: Kuanzishwa kwa kituo kikubwa cha malori katika eneo la makazi kunaweza kuongeza changamoto kama wizi, uhalifu na matatizo mengine ya kijamii, hasa kwa watoto na vijana.
- Msimamo wa wananchi: Mwandishi anaeleza kuwa pingamizi linaungwa mkono na msimamo wa pamoja wa wakazi wa Kidete uliowasilishwa katika kikao cha wananchi cha Julai 2026, ambapo wananchi walipinga uanzishwaji wa ICD katika eneo hilo.
Hitimisho
Shime wakazi wote wa Kigamboni tuungane kuandika pingamizi juu ya ombi la kubadilisha matumizi ya Kiwanja Na. 1163 kuwa Bandari Kavu (ICD likataliwe) kwa kuwa matumizi hayo hayaendani na hali ya sasa ya eneo, hasa kutokana na ukaribu na shule, uwezo mdogo wa miundombinu, pamoja na masuala ya usalama, mazingira na ustawi wa wakazi. Tukiruhusu mabadiliko hayo kutasababisha malori kujaza na kuziba Barabara zetu kuanzia Daraja la kigamboni, Vijibweni, Mjimwema hadi Kibugumo na kufanya uharibifu wa miundombinu ya Barabara kama madaraja na Kalavati, Ujenziw a bandari kavu upelekwe Kwala ili kuepusha kero za foleni kwa wananchi.
Aidha, anaomba mamlaka husika ifanye tathmini ya kina ya athari za kijamii, kimazingira, kiusalama na miundombinu, na izingatie maoni ya wananchi kabla ya kufanya uamuzi wa mwisho.
Ungana nasi kwa kusaini andiko (Petition) hii ili kupaisha sauti kwa muwekezaji na serikali juu ya Athari za mradi huu kwenye makazi ya watu. Idadi kubwa ya watakao Saini Petition itatoa taswira na kusimamisha sio tuu ubadilishaji wa matumizi ya Ardhi bali ujenzi ambao muwekezaji ameshaanza licha ya kuwa utaratibu wa ubadilishaji wa matumizi ya Ardhi haujakamilika.
Asanteni sana kwa Ushirikiano wenu.
KIGAMBONI-KIDETE INASEMA HAPANA KWA BANDARI KAVU!!!!
Updates
Reached 100 supporters
September 1, 2026
61 Comments
Eneo lile bila kuboresha miundombinu ya bara bara halitafaa kwa matumizi hayo kwanza itaongeza msongamano ambayo pia tyar ni mkubwa kulingana na ufinyu wa bara bara pia ni maeneo yenye shule. uhatari wake kwa wale watoto bila kutanua bara bara na kuweka mifumo mizuri ya maegesho
Hili si suala la kupinga maendeleo, bali ni kutetea maendeleo yanayozingatia usalama, afya, mazingira na ustawi wa wananchi. Ikiwa hata TASAC imesimamisha utoaji wa leseni mpya za Bandari Kavu Dar es Salaam ili kutathmini kwanza uwezo wa maeneo yaliyopo, basi ni muhimu ombi la ICD Kibugumo nalo lisubiri tathmini ya kina. Eneo hili ni la makazi liko karibu na shule na lina miundombinu finyu ya barabara. Maoni ya wananchi yasipuuzwe. Tunahitaji maendeleo, lakini si kwa gharama ya usalama na maisha
Ninapinga Ujenzi wa Bandari Kavu katika eneo Hilo kutokana na uzoefu wa Adha ziletwazo na Bandari kavu kwenye maeneo ya Makazi
Because our lifestyle will at risk 1. Traffick jam will increase 2. Will be dangerous for the student around 3. So many things will change and make our life miserable
HAPANA KUTOKANA NA ATHARI ZA KIMAZONGIRA NA KIJAMII ZINAZOWEZA KUTOKEA KATIKA ENEO HUSIKA
Miundo mbinu ya kuhimili foleni za malori hakuna na pia ni hatari kwa usalama wa wakazi wa kigamboni
Placing a dry port inside a residential area near sensitive zones like schools, hospitals, and markets creates severe safety, health, and logistical hazards such as 1.Severe traffic jams 2. High accidents rates 3. Blocked emergency access 4. Air pollution 5. Noise pollution 6. Enevironmental damage to coastal/beach area 7. Disrupted community life Market and business strain
Sign Petition
We never post to your account. Social sign-in is used only to verify your signature.
Add a comment?
Your signature will be added via . Tell others why you're signing — it's optional.
By signing, you accept our Terms and Privacy Policy and agree to occasional emails about petitions. Unsubscribe anytime.
Share this petition
Share this petition to help it reach more people.
Your share link
Couldn't copy automatically. Long-press to copy:

Kwanini tusitumie maeneo yalipo mbele zaidi ya mji kuweka bandari kavu? Hapa pana shule mbili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu zaidi na zinahitaji maeneo zaidi kwa ustawi wa watoto wa kitanzania,bandari kavu karibu na eneo la huduma kuu za serikali kwa wakazi wa kigamboni,zitakuja kutatiza upatikanaji mzuri wa huduma huko mbeleni na kufanya jitihada njema za ofisi nyingi za serekali zilizopo kuja kuwa na thamani iliyoshuka, kura ya hapana kuanzishwa kwa bandari kavu eneo la kibugumo s

Help this petition grow
Share it with friends to help reach 250 signatures.
Sign Petition
We never post to your account. Social sign-in is used only to verify your signature.
Add a comment?
Your signature will be added via .
Tell others why you're signing — it's optional.
Signing with Google or Facebook verifies your signature instantly — no email needed.
By signing, you accept our Terms and Privacy Policy and agree to occasional emails about petitions. Unsubscribe anytime.
Share this petition
Share this petition to help it reach more people.
Your share link
Couldn't copy automatically. Long-press to copy:
Petitions like this
Other petitions you might want to support
Make your voice count today!
Scan to share
Anyone who scans this can sign the petition.