Kama mtakumbuka katika Maazimisho ya siku ya wauguzi ambayo kitaifa yalifanyika Katavi huku katika mkoa wa Dar es salaam yakifanyika Hispitali ya taiga ya Muhumbili.
Katika Maazimisho hayo katika hispitali ya Taifa Msajili wa wakunga na wauguzi alidai siku ya Tarehe 12/05/2019 walikaa kikao na wadau mbali mbali ili kuweza kupunguza alama za udahili katika vyuo mbali mbali kwa kada ya uuguzi.
Sababu kuu aliyoitoa ni kuwa Vyuo vya private vinakosa udahili wa wanafunzi na pia alidai kuna uhaba wa wauguzi.
Madhara ya maamuzi haya.
Maamuzi haya yanairudisha fani ya uuguzi hatua 10 nyuma kwani kama mtakumbuka Uuguzi ulitambulika kuwa ni fani ya waliofeli. Watu walipigana na taswira hiyo imekua ikiondoka taratibu.
Pia hili litawapa wauguzi tabu katika ngazi mbali mbali za maamuzi kwani wataonekana kuwa na kiwango cha chini cha elimu na ufaulu.
Nini cha kufanya.
Nimeamua kuandaa Petition hii ili kuwapa nafasi wauguzi wote wanafunzi na ambao sio wanafunzi kupinga swala hili.
Hivyo sambaza ujumbe huu kwa Wauguzi wote.
Tunahitaji saini zaidi ya 20,000.
Seeing the flood of support from fellow nurses reminds me why I started this fight to protect the integrity of our profession. We have reached a point where our collective refusal to let standards slip is finally impossible to ignore.
Reached 100 supporters
May 14, 2019
279 Comments
K
Kilel Gilbert
7 years ago
Featured
Iyooo hoja haina mantikii na sii scientific, in this current century tunahitajii quality sio quantity, kwanza watu waliopoo mtaani waliomaliza course ni wengii, waombee serekali watoe ajira sio kushusha qualification ya nursing.
A
Agustino Tsoray
7 years ago
Featured
Napinga kigezo cha kushusha viwango vya udhahili
Cha kufanya vyuo vya watu binafsi wapunguza gharama kwa mana ya ada waridhike na kidogo tunajua ni biashara yao
Tuwaandae vizuri wachache tunaowapata mwisho tuwe na professional enye heshima kwetu na kwa dunia nzima
A
Anonymous
7 years ago
Featured
As far as professional development and contemporary nursing concerning, this should not be accepted..it is professional dishonest.
This should be disapproved with those who are mentally fit.
Kuchezea uuguzi ni kucheza na maisha ya watu!
Please siasa isiingilie taaluma
I
Immakulatha
7 years ago
Featured
Tunahitaji wauguzi bora na Sio bora wauguzi. Watakao umia ni wagonjwa wa hali ya chini na Sio waliotoa tamko wao hutibiwa katika hospital zinazoajiri wauguzi bora tena walofanyiwa interviews na kutazamwa utendaji kazi wao wananchi wa hali ya chini hahaha uwezo wa kutibiwa ktk hospital hizo
E
Evodius Joas Mpesha
7 years ago
Featured
HAPANA.
Ili kukuza professional ya NURSING, tunahitaji vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiria, wenye kufanya Maamuzi yaliyo sahihi na wanaojisimamia ktk Haki. Ili kuwapata hawa lazima tuangalie Ufaulu wao. Entry Qualifications zibaki vile vile.
B
Bago
7 years ago
Featured
Haikubaliki siasa+wafanyabiashara kuchezea fani...halafu hawa hawa badae wanasmama kwnye media kusema "NESI KAFANYA HV..NESI KAFANYA VILE...HII HAIKUBALIKI"
Tunahtaji wauguzi imara waliojengwa na kupitia misingi imara ya kielimu,na hii inaonekana kupitia ufaulu wa ngazi za sekondari
A
Anonymous
7 years ago
Vigezo viendelee,hakuna kushusha
T
Thiophili
7 years ago
Napinga vikali hatuwezi thoofisha fani kwa faida za vyuo pia tunarudisha nyuma fani badala ya kukua tunarudi nyuma