Skip to main content
SHIRIKI KUPINGA MAUAJI YA ALBINO TANZANIA

SHIRIKI KUPINGA MAUAJI YA ALBINO TANZANIA

78 signatures 22 to reach 100
V
Victoria S. signed
K
Keza R. signed
C
cecy signed
D
Dr.munumba signed
T
Tumaini M. signed
F
FIDELIS signed
S
Someone signed
R
roseline signed
M
msafiri signed
M
Marcin J. signed
Started by Anonymous 17 years, 11 months ago
Ndugu, Kwa muda mrefu sasa nchi yetu imekuwa ikikabiliwa na wimbi la mauaji ya ndugu zetu Albinos.Pamoja na kulaaniwa na wanajamii wengi na hatua mbalimbali ambazo serikali imejaribu kuzichukua,wimbi la mauaji limezidi kuenea.Hivi leo,wenzetu hawana amani tena ndani ya nchi.Maisha yao yanatishiwa kila kukicha. Wimbi hili limezidi kuipaka nchi yetu matope.Kama wanajamii,hatuwezi kukaa kimya.Ni wazi kwamba juhudi za ziada zinahitajika kutoka serikalini ili kukomesha mauaji hayo ambayo msingi wake ni imani potofu kwamba viungo au sehemu mbalimbali za mwili wa albino ni njia mojawapo ya kujipatia utajiri. Ni kwa kuzingatia hilo unaombwa kushiriki katika kupinga,kulaani na kuishinikiza serikali iongeze juhudi za kupambana na janga hili ambalo limeshakuwa la kitaifa.Unachotakiwa ni kutia sahihi.Zikitimia sahihi 100,000,zitapelekwa kwa Waziri mhusika kufikisha ujumbe kwamba juhudi za ziada zinahitajika.Tafadhali shiriki.Asante

Updates

July 31, 2008

I am truly overwhelmed by the messages I receive from so many of you who are just as heartbroken as I am about what our brothers and sisters are facing. This is not about me at all because you are the ones keeping this conversation alive when it would be easier to look away. I am still figuring out the best way to get our message directly to the ministry but please know your presence here is already being felt.

July 31, 2008

I am truly stunned by the way this has grown and taken on a life of its own. It is clear that the urgency of this cause rests entirely on your shoulders rather than mine. I never imagined so many people would join in to demand justice for our neighbors.

7 Comments

N
Neema Gupta
17 years ago Featured

Jamani hii inasikitisha sana. wenzetu wana haki ya kuishi kwa amani kama sisi wengine. serikali ifanye kazi yake haraka.

S
Sarah Williamson
17 years ago Featured

This makes me cry. why are people so evil just for money? they are human beings just like everyone else.

F
Fatuma Chapman
17 years ago Featured

NAKUBALI KABISA. HILI JANGA LAZIMA LIISHIE HAPA. INAUMA SANA KUONA NDUGU ZETU WANAFANYIWA HIVI.

J
Juma Ramos
17 years ago Featured

STOP KILLING OUR PEOPLE. THIS IS SO WRONG AND GOD IS WATCHING US ALL.

M
Musa Zhang
17 years ago Featured

WAUJI WOTE WAKAMATWE NA WAHUKUMIWE KALI. INATOSHA SASA.

D
David Walker
17 years ago Featured

tumechoka na hizi imani za kijinga. kila mtu ana haki ya kuishi bila woga.

K
Keza Richard
11 years ago

STOP KILLING OUR RELATIVE AND FRIENDS ALBINOS

Help this petition grow

Share it with friends to help reach 100 signatures.

Sign Petition

We never post to your account. Social sign-in is used only to verify your signature.

or sign with Email

Add a comment?

Your signature will be added via . Tell others why you're signing — it's optional.

By signing, you accept iPetitions Terms of Service and Privacy Policy.

Share Petition

Don't stop at signing, share the petition link with friends to multiply our impact

Copy link or share directly

Instagram
QR Code