Balozi zetu nyingi zinalalamikiwa kwa kutowajali Watanzania na kutoa huduma duni za kibalozi na ushirikiano kwa Watanzania katika nchi zilizopo. Ubalozi ambao bila ya shaka unaongoza malalamiko hayo ni ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ambapo mkuu wake ni Balozi Andrew M. Daraja.
Kwa kuzingatia ukweli kuwa Balozi Daraja ameshindwa vibaya katika mambo kadhaa ambayo yanaanishwa hapa: http://www.mwanakijiji.podomatic.com. Miongoni mwa hayo:
a. Kushindwa kutekeleza diplomasia ya Kiuchumi kama ilivyoelekezwa na Wizara ya Mambo ya nje kwa kutumia makabrasha mbalimbali na semina ya mabalozi ya Bagamaoyo.
b. Ameshindwa kujenga mahusiano na Watanzania waishio Marekani na hivyo kutowatumia ipasavyo katika kutekeleza diplomasia ya kiuchumi na hivyo kusababisha Watanzania kutokuwa na imani na balozi huyo.
c. Ameshindwa kutumia nafasi iliyopo ya uhusiano mzuri kati ya Marekani na Tanzania kunufaisha Tanzania kwa kuvutia watalii wengi zaidi na wawekezaji wengi zaidi na biashara ya Marekani kwa kutumia AGOA, mkataba wa Anga huru.
Hivyo basi sisi Watanzania tunatoa mwito wa kumtaka Balozi Daraja ajiuzulu au Rais aamua kumwondoa katika wadhifa huo muhimu ili kutoendelea kupoteza muda mwingi.
Nimekuwa nikisoma ujumbe mwingi kutoka kwa Watanzania wenzangu ambao wamekata tamaa kabisa na huduma mbovu wanazozipata Washington. Ukimya unaotoka ofisini kwake haufuti ukweli kwamba uwakilishi wetu umeporomoka vibaya chini ya uongozi wake.
October 12, 2006
Seeing this level of support confirms that my frustration is shared by so many of you who have felt ignored by the embassy for far too long. This momentum proves that we refuse to accept poor service and a lack of leadership any longer.
3 Comments
P
Peter Gray
19 years ago
Featured
Ajiuzulu tu. Hatuwezi kuendelea hivi wakati fursa zipo za kutosha.
N
Neema Saunders
19 years ago
Featured
Inasikitisha sana kuona nafasi kama hizi zinapotezwa huku sisi tuko huku mbali bila msaada wowote. Balozi ameshindwa kazi waziwazi.
J
Juma Greer
19 years ago
Featured
Hatuna imani nae kabisa. Kila siku ni malalamiko tu kuhusu huduma mbovu. Aondoke tujenge nchi.
Help this petition grow
Share it with friends to help reach
50 signatures.
Sign Petition
We never post to your account. Social sign-in is used only to verify your signature.
or sign with Email
Add a comment?
Your signature will be added via
.
Tell others why you're signing — it's optional.

Your signature will be added via . Tell others why you're signing — it's optional.
Signing with Google or Facebook verifies your signature instantly — no email needed.