Skip to main content

KIGAMBONI-KIDETE INASEMA HAPANA KWA BANDARI KAVU!!!!

118 Comments

B
Benjamin Ehrman Verified
1 month ago

Our company, liscensed in Real Estate development, have made investment in the area. By way of construction of high quality residential property. Research prior to investment indicates this area to be a residential zone, not designated for light or heavy industrial development. Proposed development poses significant economic, enviromental and societial damage to land owners and community. Significant concern exists as to compliance with proceedures of the Urban Town Planning legislation.

N
Nicholas Luhwago Verified
1 month ago

No due to noise pollution and cause of traffic jams

F
Faridah Mohamed Verified
1 month ago

Hapana tunapataa tabu sana foleni na magari makubwaa yanaharibu sana barabara zetu imekuwa changamoto Wilaya inayokuwa kwa kasi haitahii hizi mambo tunaweza pelekea nje ya mji hata pwani ikwiriri huko inafaaa

M
Maimuna Nandala Verified
1 month ago

Eneo liko jirani na makazi ya watu pia jirani na shule ya msingi barabara iliyopo ni njia moja hivo uwepo wa ICD utaleta foleni na usumbufu mkubwa kwa raia

U
Usia Nkhoma Verified
1 month ago

ebeo hili ni la makaz8 ma hakuna miundombinuvya kuwezesha bandari kavu kuwa pale. barabara ni moja na finyu.kuleta jambo hili katikati ya makazi ya watu sio sawa kabisa.

F
Francis Mafuru Verified
1 month ago

The infrastructure is not appropriate for the project

S
Saleh Awadh Verified
1 month ago

To make sure, i can use my education in my society

R
Raya Ally Verified
1 month ago

Sio salama kwa makazi yetu ya kidete

K
Khadija Mohamed Verified
1 month ago

Eneo hili ni la makazi ya watu na pia kuna mashule familia nyingi zimeathirika kwasababu ya hizi yard zilizojengwa kwenye makazi ya watu. Na pia hizo kuta wanazojenga inaondoa usalama kwa raia ukikabwa mpaka upande wa pili wa ukuta wasikie ni mtihani na walinzi wa yard hizo sijui wanakuwa wamelala hawasikii wakatoa msaada

R
Raymond Melckizedeck Verified
1 month ago

Usalama wa watoto wetu Usalama wa bara bara Muda tutakaopoteza kutokana na msongamano wa malori

J
Joseph Mwanawai Verified
1 month ago

Bandari kavu n chanzo cha msongamano wa magari ,pia uchafuzi wa mazingira unaotokana na ongezeko la gesi chafuzi Ingawa bandari kavu n muhimu kwa maendeleo ya usafirishaji yapaswa serikali kuchukua hatua muhimu ili kupanga vizuri na kuepusha madhara ili kuwezesha ukuaji wa uchumi tukilinda mazingira na kulinda maslahi ya wananchi kwaujumla

C
Chacha Mwita Verified
1 month ago

Kupunguza mwingiliano wa makazi na biashara kama mipango miji ya awali ilivyokua.

H
Hassan Kimwaga Verified
1 month ago

An ICD should be located in an appropriately zoned industrial/logistics area with adequate road and rail infrastructure, sufficient buffer distance from residential communities, and proper environmental and safety controls.

B
Baraka Wamala Verified
1 month ago

Hatuhitaji ICD zaidi mtaani kwetu na msongamano wa malori

J
James Gayo Verified
1 month ago

Causes masive congestions and traffic

P
Paul Zephania Verified
1 month ago

Trucks congestion, pollution and safety to kibugumo primary school. kibugumo and kidete secondary school

A
Ambrose Itika Verified
1 month ago

The dry port will have severe impact to the environment. It will add to the traffic jam and will ruin our roads due to movement of heavy trucks.

M
Masumbuko Humuli Verified
1 month ago

This land is for community-Makazi ya watu

E
Edika Masisi Verified
1 month ago

Avoidance of traffic congestion and the proximity of the said development to schools

I
Ismael Ngoisa Verified
1 month ago

Msongamano wa magari na Ajali kuongezeka.