Skip to main content

TUMESIKITISHWA SANA NA UKIMYA WA SERIKALI ZETU

51 Comments

E
Emmanuel Peter Sahani
1 year ago

Serikali acheni kuwa bubu

M
Mahadhi Alfan Kale
1 year ago

Si suala la mjadala linaloendelea Gaza kwamba ni ukatili, udhali na mauaji ya kimbari yanayoendelezwa na Israel na wadhamini wake. Kunyamaza kwenu nikuukubali unyama na ukosefu wa utu naubinadamu unaoendelezwa na Israel kwa mpalestina asiye na hatia.

S
Salim m maulu
1 year ago

One day yes

N
Nassor
1 year ago

Peace in Gaza

A
Abubakar Sadik Amin Al-Alawy
1 year ago

I support the petition

N
Njeri Mwangi
1 year ago

Open Rafah gates now.

A
Anonymous
1 year ago

Kazi na utu

F
Fikeni Senkoro
1 year ago

Haya mauaji ya kimbari yanasikitisha MNO. Historia itatoa hukumu.

A
Anonymous
1 year ago

Kunyamazia uovu ni aibu na inashusha thamani ya utu wetu

D
Dr Baba Lian
1 year ago

We urge the government to respond on this matter

A
abuu shani
1 year ago

all human are equal let

M
Mwafrika Merinyo
1 year ago

Ni aibu kubwa sana kwamba leo serikali zetu zinahangaika na kusalia madarakani pekee hata marais wetu wameshindwa (wamekataa!) kujihusisha na madhila yanayowafika ndugu zetu wa Gaza!

B
Brian Mathenge
1 year ago

We are not scared.

A
Ally Said Rweyemamu
1 year ago

Naungana nawe kulaani ukimya wa serikali zetu za Afrika mashariki na hasa nchi yetu ya Tanzania

A
Anonymous
1 year ago

Free Palestine

A
Abdulfatah Mussa Iddi
1 year ago

Kadhia ya Palestina ni kadhia ya UTU ni sawa na ilivyokuwa ya Afrika Kusini enzi za Makaburu

M
Mahir Meghji
1 year ago Featured

What is happening in Gaza is unbearable. Children are short as a target practice, starved to death. This is not just tragedy, it’s a crime against humanity- Genocide. I urge our Government to take stand and publicly condemn Israel’s actions. Our Government silence is not neutral. It is complicit. If you stay silent now, history will not.

H
Hermes Damian
1 year ago Featured

Hakika, tunaugua kwa ukimya wa salerikali zetu. Kama ziko kwenye shinikizo la kutokukosoa ukatili huu. Kwa ukimya wenu mmetufanya sote tuwe Kama tunaunga mkono undamaged huu. Najiuliza, je, serikali hizi zingekuwa madarakani wakati nchi za Afrika kikipambana kukomboa nchi nyingine kama Afrika kusini wangefanya jambo kweli ama wangekaa kungoja watesi waamue hatima ya wenzetu?

C
Capt Ibrahim Mbiu Bendera
1 year ago Featured

Tolerating Israel is supporting what they & their friend USA are doing; killing children & their mothers with HUNGER! Conducting apartheid policy by killing Palestinians, destroying their country and denying them their free Palestine State. WE, EAC Sates should close our embassies in Israel and cut off diplomatic ties with them.

R
Ridder Samsom
1 year ago

Uhuru kwa Palestina!