Skip to main content

TUMESIKITISHWA SANA NA UKIMYA WA SERIKALI ZETU

51 Comments

A
Anonymous
7 months ago

Na mauaji ya kwetu pia

M
mulokozi
1 year ago

Kweli inabidi Waafrika tufanye jambo kuhusiana na mauaji haya!

A
Anonymous
1 year ago

Stop occupation

A
Abdallah Chimerah
1 year ago

Yanayotendwa Gaza na Israeli chini ya ufadhili wa Amerika na nchini nyengine za Magharibi kwa miaka 75 sasa, ni ukatili, kinyume na haki za kibinadamu na matendo ya kikoloni. Hayafai kushuhudiwa katika karne hii wala nyengine yoyote ile.

N
Naomi Barasa
1 year ago

Afrika yastahili kuwa mstari wa mbele katika kulaani ukoloni kufuatia maisha ya kutawaliwa na wakoloni.

K
Khalid Sasamalo
1 year ago

Please do something

S
Stambuli Abdillahi Nassir
1 year ago

It's genocide!

M
Mohammed Mahfudh
1 year ago

I support anything that will be helpful for my country

M
Muhammad Yusuf
1 year ago

Hakika ni jambo la kusikitisha mno kwa kiongozi yoyote anaeona dhulma mahala popote ulimwenguni, khususan dhulma na ukatili huu unaoendelea Gaza, na kukaa kimya!

N
Nassor Hamad Omar
1 year ago

Tunalaani Ushenzi wa wazayuni.

I
ISSA SONGOK
1 year ago Featured

Vile vile mashirika za kiislamu kama SUPKEM ya Kenya na BAKWATA ya Tanzania wangepanga maandamano makubwa nchini, tutazuiliwa na Kupigwa lakini kujitolea ndio laugha ambayo serikali zetu zinaelewa.

L
Leonard Mselle
1 year ago Featured

Ahadi za Mwana-TANU 1. Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. 2. Nitajitolea nfsi yangu kuondoa nujinga, maradhi na dhuluma. Watanzania mliokomboa kusini mko wapi?

S
Sayyed Abdulsamad
1 year ago

None

A
Abdulfattah al-bakry
1 year ago

Israel commits genocide everyday. Free Palestine

W
Walter Bgoya
1 year ago

Kwa kunyamazia unyama unaofanywa Gaza na Netanyahu na jeshi lake la wauaji wa Kimbari ni kusema serikali zetu ni washirika wa kimya wa mauaji hayo!

A
Anonymous
1 year ago

I stand with Palestine, I stand with oppressed people

M
mohamed jattani dalacha
1 year ago

Very unacceptable. #freepalestine

R
Rehana Elloffy
1 year ago

I am signing because of killing innocent people children it's really hard to bear what is done there

S
sharif hassan
1 year ago

East africa hakuna viongozi na wao ni wauwaji watawezaje kulaani mambo wanayoyafanya

J
Joseph Chiombola
1 year ago

Free Gaza, Free Palestine ✊