Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
B
Benson Mwansasu
7 years ago
HAPANA
A
Anonymous
7 years ago
Naunga mkono hoja yako mkuu. Kwani vigezo vya kujiunga na fani ya Uuguzi iikilegezwa tujiandae kupokea wauguzi ambao watakuwa na uwezo mdogo kiutendaji, kufikiria na katika maamuzi ya kiuongozi. Ni bora tukabaki wachache with good performance and good decision making. Nawasilisha.
A
Astero Francis
7 years ago
TNMC iache mfumo wa kipebari wa kuamua vitu ,hili lilihitaji wadau na wanataalumaa ,ni kudhalilisha kada na kuonekana kada linaloweza kuendeka bila kisomo ideology iliyokufa siku chache zilizopita zinaibuliwa kuwa kada dhaifu ,Tupevuke na kufikiri ,uhaba wa watumishi uko sehemu nyingi hakuna walimu wa sayansi etc,hatujawahi sikia lowering grading hii hufanyika in a technical manner uhitaji unapotokea not matter of publicity to know to defend carrier value ,
A
Aaliyah Aby
7 years ago
HAPANAAA... wasiturudishe nyuma.
G
Gladness Mkawe
7 years ago
Napinga na kukemea vikali kwa kushushwa viwango vya udahili kada ya uuguzi ngazi ya certificate na diploma, huu ni udhalilishaji wa profession yetu.
P
Peter Simon
7 years ago
Hapana
N
Nurse is brain
7 years ago
Hii haikubaliki hata kidogo, biashara ya vyuo vya private hatutaki .Nawashauri wapunguze Ada zao sio kupunguza vigezo vya udahili.
M
Makongo Somba
7 years ago
waajiri waliomtaani kucover shortage ni wengi sana
R
Rajab Yassin
7 years ago
HAPANA
A
Amon Kaponda
7 years ago
Hapana hapana kushusha passmark haiwezekani.
S
Stanslaus Rweyemamu
7 years ago
Napinga kabisa suala hili na huyo kiongozi aliyekaa na wadau hana hekima kama alikubali haya matatizo.Wakipunguza Alama wapunguze na za Madaktari make nao ni wachache. HATUDANGANYIKI
A
Atukuzwe Kilaha
7 years ago
Hapana
M
Maria msemwa
7 years ago
Big nooo
J
Janeth
7 years ago
sipo tayari vigezo vishushwe
B
Bakar A Mohamed
7 years ago
Noooo, Noooo, tena vigezo viongezeke na wafute certificate ya uuguzi ngazi ya chini iwe diploma
A
Anonymous
7 years ago
hapana
M
Madia
7 years ago
No , upungufu wa wauguzi na wakunga sio sababu ya kushusha entry kuondoa upungufu ni kuajiri wauguzi walioko mtaani pamoja na wakunga
W
Willuamzs
7 years ago
No
A
Anonymous
7 years ago
Ufaulu uongezwe katika kudahili
E
edward simon
7 years ago
Haikubaliki na tunapaswa kupambana mpaka tone letu la damu la mwisho