Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
M
Mbekure lerug
7 years ago
Hapana hii Kauli ufutwe Mapema haina tija kabisa kwenye fani nyeti kama hii
A
Anonymous
7 years ago
tunarudishana nyuma
S
sada
7 years ago
Viwango vya udahili vibaki palepale
N
Nelitha Nestory
7 years ago
The previous qualifications should be maintained so as the status of nursing carrier to be valued
S
SAID HAMWISHA SAID
7 years ago
Hilo ni jambo ambalo si la kurahisisha wapo waliofika hadi form six na pia wamesomea uuguzi
D
Davies Mwantela
7 years ago
Uuguzi ndio leading sector in health Field, no need to lower entry qualification
C
Cyprian Magoti
7 years ago
Nursing is the best professional , we need qualified people
D
Dan Elly
7 years ago
Nooooo, noooooo, nooooooo!! Haipo sababu ya kushusha vigezo maana hii koz sio ya watu waliofeli,
A
Apolinary
7 years ago
Hapana
C
Constansia
7 years ago
Kupunguza viwango vya udahili ni kurudisha zama za zamani kwamba uuguzi ni kwa waliofeli,which sio sawa..tusonge mbele,tujithamini,tusijinyenyekeze,sisi ni wa maana
C
CHACHA GEOFREY JOHN
7 years ago
Mimi kama Mtaalamu wa Taaluma hii sikubaliani na mabadiliko haya kwa sababu zifuatazo
1.Hakuna upungufu wa wauguzi uliosababishwa na vigezo kuwa juu kwani Kuna watu wamekosa nafasi kujiunga vyuo vya kati wakiwa na division 1&2 na kushindwa kwenda private kisa gharama
2.RN ni standard ya kimataifa haipaswi kulinganishwa na taaluma zingine za kati Kama COs, Maabara nk
3.Uimara wa Taaluma na reputation yake unapatika baada ya kuwa na vigezo imara vya kupata wanadharuma Hao
4.Vigezo vilivyopo vinapswa kuwa hivyo hivyo na kushauri vyuo binafsi na mashirika ya kidini kupunguza Ada Ili kupata wanataaluma ambao wataenda na Uuguzi na ukunga Huu wa kisayansi Bali sio kutoa mfanano ilivyo kuwa zamani kuhalalisha viwango hivi dhaifa.
A
Alfred Nade
7 years ago
Hii ni kuendelea kushusha hadhi ya uuguzi...i dont agree this nashauri tu review maamuzi haya @TNMC
I
Immakulatha
7 years ago
Featured
Tunahitaji wauguzi bora na Sio bora wauguzi. Watakao umia ni wagonjwa wa hali ya chini na Sio waliotoa tamko wao hutibiwa katika hospital zinazoajiri wauguzi bora tena walofanyiwa interviews na kutazamwa utendaji kazi wao wananchi wa hali ya chini hahaha uwezo wa kutibiwa ktk hospital hizo
B
Bulili Marco
7 years ago
Tuko pamoja kupinga mtazamo hasi kwa wauguzi
B
Baraka
7 years ago
Ndiyo
N
Nemes Makanza
7 years ago
I don't agree with suggestions to lower the entry qualifications for nurse and midwives in colleges.
I strongly recommend a pass in basic Mathematics to be also considered as necessary requirement for admission in nursing school
A
Anonymous
7 years ago
No need of reduce qualification entry either to increase or let it constant as it is because people think nursing is for failure that is not true their peopl studying nursing smart than those study MEDICINE
A
Anonymous
7 years ago
No need of reduce qualification entry either to increase or let it constant as it is because people think nursing is for failure that is not true their peopl studying nursing smart than those study MEDICINE
Hapana hii Kauli ufutwe Mapema haina tija kabisa kwenye fani nyeti kama hii
tunarudishana nyuma
Viwango vya udahili vibaki palepale
The previous qualifications should be maintained so as the status of nursing carrier to be valued
Hilo ni jambo ambalo si la kurahisisha wapo waliofika hadi form six na pia wamesomea uuguzi
Uuguzi ndio leading sector in health Field, no need to lower entry qualification
Nursing is the best professional , we need qualified people
Nooooo, noooooo, nooooooo!! Haipo sababu ya kushusha vigezo maana hii koz sio ya watu waliofeli,
Hapana
Kupunguza viwango vya udahili ni kurudisha zama za zamani kwamba uuguzi ni kwa waliofeli,which sio sawa..tusonge mbele,tujithamini,tusijinyenyekeze,sisi ni wa maana
Mimi kama Mtaalamu wa Taaluma hii sikubaliani na mabadiliko haya kwa sababu zifuatazo 1.Hakuna upungufu wa wauguzi uliosababishwa na vigezo kuwa juu kwani Kuna watu wamekosa nafasi kujiunga vyuo vya kati wakiwa na division 1&2 na kushindwa kwenda private kisa gharama 2.RN ni standard ya kimataifa haipaswi kulinganishwa na taaluma zingine za kati Kama COs, Maabara nk 3.Uimara wa Taaluma na reputation yake unapatika baada ya kuwa na vigezo imara vya kupata wanadharuma Hao 4.Vigezo vilivyopo vinapswa kuwa hivyo hivyo na kushauri vyuo binafsi na mashirika ya kidini kupunguza Ada Ili kupata wanataaluma ambao wataenda na Uuguzi na ukunga Huu wa kisayansi Bali sio kutoa mfanano ilivyo kuwa zamani kuhalalisha viwango hivi dhaifa.
Hii ni kuendelea kushusha hadhi ya uuguzi...i dont agree this nashauri tu review maamuzi haya @TNMC
Tunahitaji wauguzi bora na Sio bora wauguzi. Watakao umia ni wagonjwa wa hali ya chini na Sio waliotoa tamko wao hutibiwa katika hospital zinazoajiri wauguzi bora tena walofanyiwa interviews na kutazamwa utendaji kazi wao wananchi wa hali ya chini hahaha uwezo wa kutibiwa ktk hospital hizo
Tuko pamoja kupinga mtazamo hasi kwa wauguzi
Ndiyo
I don't agree with suggestions to lower the entry qualifications for nurse and midwives in colleges. I strongly recommend a pass in basic Mathematics to be also considered as necessary requirement for admission in nursing school
No need of reduce qualification entry either to increase or let it constant as it is because people think nursing is for failure that is not true their peopl studying nursing smart than those study MEDICINE
No need of reduce qualification entry either to increase or let it constant as it is because people think nursing is for failure that is not true their peopl studying nursing smart than those study MEDICINE
I disagree
Vigezo visipunguzwe