Skip to main content

Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.

279 Comments

M
Masalu James
7 years ago

HAPANA, Binafsi sikubaliani na WAZO LAKO. Huo utakuwa mwanzo kwa kada yetu kudharaulika. Mtoa hoja naomba ufikirie kuimarisha maslahi kwa wauguzi.Pia kutengeneza mazingira ya kada hii kuheshimika.

P
paul mrosso
7 years ago

sikubalian na hilo ni kuishusha hazi uuguzi na kuonekan kwamba ni kozi ambayo wat hawana ufaulu hilo siungi mkono kabsa

A
Anonymous
7 years ago

wanasema wauguzi hawatoshi wakati ajira wamezibania

A
Anonymous
7 years ago

Hapana kutudharau wahuguzi kwani kwa kawaida tunauwezo WA juu kushinda madaktari. kama inshu ni wanafunzi basi wapunguze za madaktari ili waone kama watasolve tatizo

A
Anonymous
7 years ago

Nursing isn't a professional to be downgraded and it needs people who are keen enough to deal with this inferiority complex faced by professional as seen now nursing is taken as non important profession by many as well as community so the profession need a people who can defend profession to be more stable

R
Rugimbana
7 years ago

Kushusha udahili ngazi ya cheti na stashahada kwa kiwango cha DDD sio sawa kwani hiyo ni level ya chini sana ambapo tunahitaji mtu akitoka ngazi hizo apande ngazi za juu zaidi, hii ndio inasababisha wauguzi wengi kuishia ngazi ya cheti na stashahada kwakua anajua akifeli kidato cha nne atasoma cheti ataishia hapo. Ila tukichukua watu waliofaulu katika ngazi hizi watafanya vizuri na watakua na chachu ya kuendelea mbele. Ifike mahala hata hii ngazi ya cheti iondolewe ila kwa kushusha udahili tutarudi kulekule kwamba ukiwa muuguzi basi wewe kiwango chako ni cheti tuu, tuseme hapana itawezekana Ama kwa level ya shahada yaani degree mtu aliyepata DDD ni sawa na division two ya kwa form six na ikimbukwe kiwango cha D kwa kidato cha sita alama zake ziko juu ukilinganisha na kiwango cha D kwa kidato cha nne. TUMEKATAAA HATUTAKI KURUDI NYUMA

S
Salma
7 years ago

Hapana

I
ISMAIL HASHIM
7 years ago

Atakuwa na yeye anamiliki chuo sasa anaona soko aliendi anaamua kubadilisha au atakuwa anatumiwa na wamiliki wa vyuo vya uuguzi

E
Esther
7 years ago

No

K
Kilaye Karino
7 years ago

Kufanya hivyo ni kushusha hadhi ya taalimu ya uuguzi. Mwisho wa siku hatutakuwa na competent professional bali ni watu walio hoi katika taaluma pamoja na utoaji wa huduma za kiuguzi katika jamii. Kusema wauguzi hawatoshi wakati wengi wameishia kujitolea katika hospitali mbalimbali Nchini siyo hoja ya kuishusha hadhi taaluma. Tunatakiwa tufikirie namna ama jinsi ya kuboresha Taaluma na siyo kuirudisha nyuma. Uhaba wa wataalamu wa afya nchi ilitakiwa iwe ni hoja ya taifa kupitia wizara ya Afya. Katika kusherehekea siku ya wauguzi duniani tunaonekana kutoishi maisha ya our legend Florence nightngale kwani nilitamani kuona tunafikiria zaidi namna ya kuboresha huduma tunazozitoa ktk jamii. Na kuboresha taaluma aliyoianzisha nightngale. Pls tubadilikeni tuwe na mtazamo chanya. Leo unafiria mtu aliyeshindwa kufanya vzr shuleni ndo aje awe muuguzi amhudumia mgonjwa???? Pls tuwe serious afu tuwe determined.

E
Editruda francis
7 years ago

HAPANA

J
Justine wangwe
7 years ago

Mimi binafisi siwezi kumlaum coz ni mitazamo yake ila kulingana na maelezo hop juu inaonekana huyo mtu hajafanya research na maelezo na mitazamo yake ni ya kisiasa zaidi coz anataka awe na wauguzi wengi wasio na sifa yaan he is looking for Quantity bt not for quality nurses Kwanza kulingana na mm ametukana na kutharirisha taaruma ya nursing na pili nimshaur aingie mtaani aone ni kiasi gany wanafunz wanahangaik mtaani kwa kukusa chuo na wanapoint nzur na huyu msajili najiuliza hayo mawazo ameyatoa wapi.MIMI SIKUBILIANI NAE hata 0% yaani mheshmiw anamisha kuw wote nurses waliofel daaah jamn watu wengine wana discourage Sanaa nurse is very important professional course Sasa inapotokea mitazamo kama hii yatupasa all nurses kuwa wavumiliv Sanaa.

E
Emanuel
7 years ago

Watuache bwna

M
Morad Faustine
7 years ago

HAPANA. Wanapaswa kudahili wahitimu wenye ufaulu wa juu ukizingatia kwamba Nursing is Universal Profession. Taaluma ambayo mtu mwenye certificate au diploma utamkuta akifanya kazi na watu wa taaluma zingine kama Doctors, Pharmasists etc wenye Bachelor degree, Masters, Phd, unapaswa kuwa na uwezo mkubwa kiakili ili kuweza kujenga hoja na kutoa huduma katka team ya watu wenye elimu kubwa zaidi yako. Uuguzi siyo taaluma ya kiroho, haiwezijengwa kwa misingi ya kuhurumia watu. TNMC Registrar, think twice.

F
Faraja
7 years ago

hii sio sahihi kabisa,Hivi hivi ndivyo tunavoishusha hadhi uuguzi.Sikubaliani kabisa na hatua hiyo na kwakufanya hivyo Uuguzi utachukuliwa kama kimbilio la watu waliofeli.Mheshimiwa akae na kamati yake afikirie namna ya kufanya uuguzi uheshimiwe kwa kudahili watu wenye vigezo vya juu na mishahara iwe ya juu sio tunakaa kudharaulika kwasababu ya mkuu mmoja.Ikumbukwe uuguzi sio fani ya waliofeli we are professionals so you must respect and value us

A
Andrew Fredrick
7 years ago

Sikubaliani na uamuz wa kushusha vigezo vya udahili kwakuwa madhara yake ni makubwa kitaaluma na hata katika utoaji wa huduma sitahiki katika jamii

M
Mwasenga
7 years ago

Noooo, haikubaliki. Maamuzi yahusishwe kwa wauguzi wote kama walivoomba maoni ya sare, maana vigezo vya udahili ni zaidi ya sare.

A
ABELY WILLIAM
7 years ago

We nurses need to stand together for our carrier and not otherwise

M
Msyangi bulongo
7 years ago

We don't want to turn to the previous underestimation of the nursing professional. We have to find the way to improve and not to destroy. We real don't agree with TNMC agreements

S
Scholastica makionda
7 years ago

No turning back!entry qualification should not be changed as to ensure good product of nursing students