Skip to main content

Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.

279 Comments

A
Anonymous
7 years ago

Kushusha viwango vya udahili ni uzalishaji wa fani hii ya unesi. Na kusema kuwa mitaani kuna wauguzi wachache ni uwongo, kuna waguzi ambao hawajiriwa wapo tu mitaani tunawashuhudia wanavyoteseka na bahasha zao. HAMNA KUSHUSHA GRADES NA WAUGUZI WALIPOOMTAANI WAFUNGILIWE MLANGO WA AJIRA WAINGIE HOSIPITALINI. MAVAZI YA WAUGUZI PIA YABADILISHWE. NGUO NYEUPE CHINI HADI JUU YATOLEWE

W
Walter Cleo
7 years ago

I stand to this move to promote and improve quality of Nursing Education and services as well HAPANA KUSHUSHA ALAMA ZA UDAHILI WA WAUHUZI

V
VICENT BANKANIE
7 years ago

Nashukuru kwa petition hii.LA MSINGI TUTAMBUE KUWA,SABABU ZILIZOTAJWA ZA KUPUNGUZA ALAMA ZA UDAHILI,NI SABABU ZISIZOTOSHELEZA.LENGO LA TAALUMA YETU SI KUWAPATIA VYUO BINAFSI IDADI KUBWA YA WANAFUNZI,WALA SI KUONGEZA TU IDADI YA WAUGUZI ,BALI KUANGALIA QUALITY YA WAUGGUZI WENYEWE.HAOHAO VIONGOZI WAMEKUWA WAKILALAMIKA ETI WAUGUZI WA SASA HAWAKO COMPETENT.SASA MOJA YA HATUA YA KUCHUKUA ILI TUWE NA WAUGUZI COMPETENT NI KUONGEZA ADMISSION CRITERIA,ILI KWANZA TUCHUKUE WATU WALIOFAULU VIZURI,NA PILI,TUWE NA UHAKIKA NAO KUWA WATAKAPOFUNDISHWA WATAELEWA KWA WEPESI KWA MIAKA HIYO 3 KWA DIPLOMA NA 4 KWA DEGREE.KUSHUSHA VIWANGO.VYA UDAHILI NI KUONESHA JINSI GANI NURSING ILIVYO PROFEASIONAL DHAIFU,ISIYO NA.MSIMAMO,NA ISIYOJIAMINI....TUKUMBUKE KUWA,MAAMUZI YALIYOFANYIKA MWANZO YA KUONGEZA VIGEZO YALIFANYWA NA WASOMI WAUGUZI WENYE AKILI TIMAMU ,NA WALA HAIKUWA PILOT STUDY.NAOMBA SANA VIONGOZI WASITUYUMBISHE,BALI WASIMAMIE ZAIDI QUALITY YA UUGUZI NA WAUGUZI.ASANTE.

D
Devotha kanogu
7 years ago

HAPANA

M
MAHEDA LUCAS
7 years ago

tunahitaji kujenga uuguzi ulio imara bora tukawa wachache wenye uwezo kufikiri na kujenga hoja mbona profession zingine zina watu wachache na hawajapunguza vigezo vya udahili kwa sababu wanajua madhara yake ni makubwa kwanza ni kuua professional na kuidhalilisha kabisa

C
Chris
7 years ago

This will retard our cadre. We must strongly oppose it. I join it

A
Anonymous
7 years ago

It is not totally logical nursing is not for failure to admit failure is to increase maltptactice this will stop down totally nursing in our country so unite and say no to this let be serious

A
Anonymous
7 years ago

kuna watu leo wapo kwene harakati kuifanya kada hii iheshimike kwa kuwa n watu wenye uwezo mkubwa wa kuweza kufanya majukumu makubwa hospital leo mnataka kuongeza idadi ya vilaza ... how can that kind personel perform those duties which are fought for,..... how can get power to fight for reduction in gap salary btn us and other medical personel..... how can we get power to fight for inferiority to other medical personnels.....

A
Anonymous
7 years ago

Wanazingua sana. Sasa washushe ili iweje??

C
Costancia S Muna
7 years ago

Muuguzi anasimama kwa miguu yake na maamuzi yake yanatakiwa yajitosheleze kama hana elimu ataendelea kusema ndio zisizo na maana

M
Mcharo simon
7 years ago

Kwa kweli kwa wamuzi walio uchukua si mzuri kwanza muuguzi anatakiwa awe na knowledge kubwa yakuhudumia wagonjwa pia muuguzi ndie anaejua sana shida za wagonjwa ukisema upunguze vigezo vya kuuingia nursing pia ndo unqpunguza umqkini wakuwahudumia wagonjwa waauguz wako weng mtaani hawana kazi wana digreee zao sirikali haijawaona bado Nashauri serikali itoe kwanza nafasi za kazi baada ya apo ndo wajali wanalotaka kuliamua now....

A
Anonymous
7 years ago

Vigezo vilivyopo vya CCD viendelee kwa maslahi mapana ya Taaluma ya Uuguzu

A
Anonymous
7 years ago

kwa maendeleo ya kada yetu ya Uuguzi na Ukunga,napinga pendekezo hili LA kushusha viwango vya ufaulu.

A
Anonymous
7 years ago Featured

As far as professional development and contemporary nursing concerning, this should not be accepted..it is professional dishonest. This should be disapproved with those who are mentally fit. Kuchezea uuguzi ni kucheza na maisha ya watu! Please siasa isiingilie taaluma

B
Baran
7 years ago

Sikubaliani na hoja ya kupunguza vigezo vya udahili kama kuna upungufu serikali iajiri wauguzi walioko mtaani, kuhusu vyuo vya private wapunguze ada watawapata wanafunzi

G
George Nyamboto
7 years ago

Nasimama kinyume na kupinga vikali tamko la msajiri wa wauguzi na ukunga wa kushusha vigezo vya udahili. Mgonjwa ambae anahudumiwa na Daktari bingwa ni huyo huyo ambae atahudumiwa na huyu muuguzi au mkunga Tena Kwa muda mrefu kuliko huyo Dr.ambae hupita mara kadhaa Tu Kwa siku,Sasa kama tunajali afya za wagonjwa wetu ni vigezo vinatakiwa kupandishwa zaidi ya hapo

M
Marko Robert
7 years ago

Siungi mkono ubadilishwaji wa vigezo vya udahili.

K
Kalyango paul
7 years ago

Sikubalian na kupunguzwa kwa vigezo hivyo

G
Godlove Godwin
7 years ago

Napendekeza Alama kwa diploma ziwe CCyani C ya chemistry na biology alafu C ya physics na ufaulu WA D in mathematics

P
Pendo Masanja
7 years ago

Kupunguza sifa za udahili ni kurudisha nyuma taaluma hii. Tunahusika na uhai wa watu incase wanasiasa wanajisahau