Skip to main content

Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.

279 Comments

I
Isaya budimu
7 years ago

Haina haja ya kuwa na nurses failer tunaitaji nurses qualified maana hao watauwa wagonjwa. Tukatae na kupinga hili.

K
Karimu nyeguye
7 years ago

Hapana, sioni haja ya kushusha vigezo vya udahiri, hivi kwanini madaktari wenyewe wasishushe? Kwani wao wapo wengi makazini na vyuoni??

E
Elia sichundwe
7 years ago

Hapana, kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahiri katika kada ya uuguzi

J
Joanitha kakuru Julius
7 years ago

Hapana

A
Aloyce majebele
7 years ago

It is possible

C
Collether Victor
7 years ago

Hiko kitu hakiwezakan mwisho wa siku itapelekea madhara makubwa pia Ni madharau makubwa it's impossible to accept such thing

F
Fatuma Juma
7 years ago

I don't think so if it is good idea coz nursing will loose its value, if the issue is scarcity of nurses in clinical field then waajiri wale nurses ambao hawana ajira had hivi tunavyozungumza

M
Martina
7 years ago

It's unacceptable and not health for the growth of our professional.the entry criteria should remain as ccc

C
Collether victor
7 years ago

Ndiyo

S
singu dotto
7 years ago

This issue should be avoided soon as possible

M
Mollel
7 years ago

Hapana haofai kabisa kushusha vigezo

R
RN
7 years ago

Kada imeanza kupata heshima, anataka avuruge tena! NO

E
evan
7 years ago

hapanaa

B
Bello ally
7 years ago

Noo,nursing is not for failling

R
Ruth kalua
7 years ago

Hapana

A
Anonymous
7 years ago

Vigezo vya kudahili wanafunzi wauguzi vibaki kama vikivyokua ( CCC). Ifike mahaki kada iheshimiwe

P
PASTORY MANGE
7 years ago

NO To this professional weakening.

S
Suzanne jeremiah
7 years ago

Marks za udahili zisipunguzwe badala take waendelee kuboresha mitaala

M
Mugisha
7 years ago

Kitu cha kwanza wanao turudisha nyuma ni baby boomers serikali iliangalie kwa makini.Jambo jingine serikali imetrain wauguzi na wakunga wengi lakin haitazam hata pesa nyingi imetumia graduators wengi saana mtaani.Jambo la kupunguza vigezo kwanza tuwaangalie vizur wanaosupport hili swala pengne na wao ndo hilo group na ni upuuzi kabisa.

I
Ibrahim Salim
7 years ago

Napendekeza waongeze alama za udahili ili kupata wataalamu wanaohitajika katika ngazi mbalimbali