Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
A
Anonymous
7 years ago
No, visipungue bali waongeze vigezo ili thamani ya kada hii iongezeke zaidi.
A
Anonymous
7 years ago
No
M
Mariam
7 years ago
Alama zisipunguzwe
G
Goodluck
7 years ago
Hapana
Y
Yonah Nathanael
7 years ago
mimi ni intern nurse, Muhimbili. NAIKATAA!
P
Prosper
7 years ago
Hapana
A
Anonymous
7 years ago
Viongozi wametusaliti
NACTE wameshatoa tangazo la
D D D
Hivyo uuguzi itakuwa jalala la failures
M
Mussa mabange
7 years ago
Ikiwezekana viwango vya udahili viongezeke
A
Anonymous
7 years ago
HAPANA
K
Kirway paul
7 years ago
Sikubaliani na maamuzi ya msajili wa wauguzi kupunguza vigezo vya udaili wa wanafunzi wa nursing kwan kupunguza vigezo kufanya professional yetu isiwe na watu wasiofaulu vzr na hakutakuwa na ufanisi kazini
M
Mrage hemedi
7 years ago
Am against that idea,grades shouldn't be lowerd,instead should be raised
M
Mabula abdalah
7 years ago
Haifai
A
Amiri Ramadhani
7 years ago
Kada yetu inashushwa hadhi kutokana na haya mabadiliko yasiyo na tija yanayofanywa kwa matakwa ya watu wachache acheni kuwakatisha tamaa vijana wanaokuja kwenye hii kada .
Pia tokeni kweny maofisi yenu niny TANNA mkawasikilize na kuwasaidia mnaowaongoza hamuwez kuwaongoza watu mmekaa kweny ofisi zenu.
Na mwisho shuhulikieni scheme of service(work) hayo ndio tunayotaka wauguzi sio haya ya marks yenye maslahi yenu binafsi
M
Michael
7 years ago
Hapana 100%
J
JOHN N SIMWANZA
7 years ago
Hapan
S
SAMWEL Isack
7 years ago
Hapana
J
JOHN N SIMWANZA
7 years ago
Hapan
M
Mcharo simon
7 years ago
M ningependa kuishauri serikali yetu ya elimu.
1. Wawe wa bunifu. Kivipi?? Kwa kuangalia ni wangap wauuguzi hawajaajiriwa wako mitaani wanatakiwa kuwatafutia kwanza waliokwisha kunaliza masomo wapate kazi ndipo waanze kuangalia swala ili lingine.
2. Sisi waauguz ndio mboni ya wagonjwa tukishindwa kuwasaidia wa gonjwa kwa knowledge zetu tutapoteza sana watu kwaiyo serikali iende na vile viwango vya kawaida vya kuingia vyuoni haswa vya taaluma zetu. Is my comment.
By mcharo..
S
Salenge magembe
7 years ago
Jamani tuokoe wagonjwa kwnza kuliko kuwajali wanafunzi walio feli maana hii course ni ngumu hawata iweza. Hapana tupinge vikali
No, visipungue bali waongeze vigezo ili thamani ya kada hii iongezeke zaidi.
No
Alama zisipunguzwe
Hapana
mimi ni intern nurse, Muhimbili. NAIKATAA!
Hapana
Viongozi wametusaliti NACTE wameshatoa tangazo la D D D Hivyo uuguzi itakuwa jalala la failures
Ikiwezekana viwango vya udahili viongezeke
HAPANA
Sikubaliani na maamuzi ya msajili wa wauguzi kupunguza vigezo vya udaili wa wanafunzi wa nursing kwan kupunguza vigezo kufanya professional yetu isiwe na watu wasiofaulu vzr na hakutakuwa na ufanisi kazini
Am against that idea,grades shouldn't be lowerd,instead should be raised
Haifai
Kada yetu inashushwa hadhi kutokana na haya mabadiliko yasiyo na tija yanayofanywa kwa matakwa ya watu wachache acheni kuwakatisha tamaa vijana wanaokuja kwenye hii kada . Pia tokeni kweny maofisi yenu niny TANNA mkawasikilize na kuwasaidia mnaowaongoza hamuwez kuwaongoza watu mmekaa kweny ofisi zenu. Na mwisho shuhulikieni scheme of service(work) hayo ndio tunayotaka wauguzi sio haya ya marks yenye maslahi yenu binafsi
Hapana 100%
Hapan
Hapana
Hapan
M ningependa kuishauri serikali yetu ya elimu. 1. Wawe wa bunifu. Kivipi?? Kwa kuangalia ni wangap wauuguzi hawajaajiriwa wako mitaani wanatakiwa kuwatafutia kwanza waliokwisha kunaliza masomo wapate kazi ndipo waanze kuangalia swala ili lingine. 2. Sisi waauguz ndio mboni ya wagonjwa tukishindwa kuwasaidia wa gonjwa kwa knowledge zetu tutapoteza sana watu kwaiyo serikali iende na vile viwango vya kawaida vya kuingia vyuoni haswa vya taaluma zetu. Is my comment. By mcharo..
Jamani tuokoe wagonjwa kwnza kuliko kuwajali wanafunzi walio feli maana hii course ni ngumu hawata iweza. Hapana tupinge vikali
HAPANA