Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
R
Rose
7 years ago
Hapana. Hilo suala ni kushusha
hadhi taaluma
A
Andrew Kapaya
7 years ago
Let’s stand for this profession
B
Baraka
7 years ago
HAPANA
K
Kilel Gilbert
7 years ago
Featured
Iyooo hoja haina mantikii na sii scientific, in this current century tunahitajii quality sio quantity, kwanza watu waliopoo mtaani waliomaliza course ni wengii, waombee serekali watoe ajira sio kushusha qualification ya nursing.
H
HASSAN mashaka
7 years ago
It will weaken the image of our professional as a professional of failurers
N
Niteka Boniface Katelekwa
7 years ago
No
R
Rose Maila
7 years ago
Hapana
D
Diana Edward
7 years ago
Hapana
R
Rehema makali
7 years ago
Naunga hoja yakutobadilisha viwango vya udahili katka kanda ya uuguzi
E
Evelyne Mlokela
7 years ago
Comments
HAPANA
R
Rachel olotu
7 years ago
I propose this issue because they affect my country and my fellow nurses in generall
A
Anonymous
7 years ago
Napinga hayo mabadiliko yanayodhoofisha kada yetu ya muuguzi
N
Nancy haule
7 years ago
Viwango vya ufaulu visishushwe
A
Anonymous
7 years ago
Hapana kushusha grade za kudaili wauguzi.
J
jesca philipo
7 years ago
Comments
Naunga mkono hoja ya kukataa kubadilisha viwango vya udahili wanafunzi wanaochukua nursing kwa sababu tutarudi tulikotoka na tunaiangusha chini na kudhoofisha taaluma yetu ya uunguzi na ukunga
G
Geofrey Ulaya
7 years ago
Afya ni taasisi yenye kuhakikisha muendelezo wa uhai wa mwanadamu hivyo, wasiwekwe wasio na vigezo ili kujaza idadi tu.
C
CRESENSIA
7 years ago
Hapana grade zisishushwe jamani hiyo ndio itaonyesha thamani ya uuguzi ni ndogo
J
Justina
7 years ago
Naunga mkono kutoshusha viwango kwani tutarudi kuleee,tulikotoka ya kuwa wenye viwango vya chini vya ufaulu ndo wanajiunga uuguzi.Hii ni dhana potofu iliyoko katka jamii na karibia inaisha sasa tukishusha tena tunaanza tena upya Ieleweke kuwa uuguzi ni taaluma kama taaluma zingine na inaheshimika kwa hivo vigezo vya CCD,anayesema kuna upungfu Wa wauguzi awaajiri kwanza walioko mtaani.
E
Emanuel
7 years ago
HAPANA napinga ushushaji wa grades ni chanzo cha kuzorotesha taaluma ya uuguzi kwa kufanya muuguzi kukosa hadhi. Kwanza jambo hili lisiamuliwe kwasababu ya maslahi ya watu fulani.
A
Anonymous
7 years ago
Nilidhani ingezungumzika vigezo viwe kama vya medicine ili tupate ulinganifu na madai ya fani yanaweza sikilizwa kumbe imekua kinyumeee
Hapana. Hilo suala ni kushusha hadhi taaluma
Let’s stand for this profession
HAPANA
Iyooo hoja haina mantikii na sii scientific, in this current century tunahitajii quality sio quantity, kwanza watu waliopoo mtaani waliomaliza course ni wengii, waombee serekali watoe ajira sio kushusha qualification ya nursing.
It will weaken the image of our professional as a professional of failurers
No
Hapana
Hapana
Naunga hoja yakutobadilisha viwango vya udahili katka kanda ya uuguzi
Comments HAPANA
I propose this issue because they affect my country and my fellow nurses in generall
Napinga hayo mabadiliko yanayodhoofisha kada yetu ya muuguzi
Viwango vya ufaulu visishushwe
Hapana kushusha grade za kudaili wauguzi.
Comments Naunga mkono hoja ya kukataa kubadilisha viwango vya udahili wanafunzi wanaochukua nursing kwa sababu tutarudi tulikotoka na tunaiangusha chini na kudhoofisha taaluma yetu ya uunguzi na ukunga