Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
A
Amad
7 years ago
Hapana
R
Robert Mwita
7 years ago
No
L
LOMO
7 years ago
We don't need losers in this proffesional
G
George Mbalilwa
7 years ago
Hizo ni short term solution katika permanent solution namna nzuri ya kuvutia watu wapende uuguzi ni kuangalia maslahi na mishahara mizur kwa uuguzi na wala sio kupunguza marks za udahili.
J
Jr
7 years ago
Waache ujinga TANA.
A
Antony dismas nyakamwe
7 years ago
There is no need,,as students have to study hard to qualify,and decreasing makes nursing and midwifery seems very cheap and easy and workers have no qulity
K
Kija lukona
7 years ago
HAPANA
N
Nicholaus Mpemba
7 years ago
Hapana hapo ni kudhalilisha kozi
V
Vedasto haule
7 years ago
Once upon the time, Nursing it was seen as the failures professional, different organizations established in order to enhence and to make nursing the known professional.
One of the organization established are TANNA, UNISATA In universities but a single person with non logical idea wants to demoralize the professional. I say big No. Let's work together Nurses to Say No
O
Obi Obinna
7 years ago
That is suicidal ideation
S
Said Mohamed Mbwana
7 years ago
Idadi ya wahitimu kwa ngazi ya certificate na diploma ni kubwa sana na wengi wa wahitimu hao wapo mtaani na hawajapata ajira.
Kama wapo wahitimu wengi na hawajapata ajira,Je tunapunguza viwango vya kujiunga kwa Maslahi ya nani?, Msajili anaviombea vyuo vipate wanafunzi wengi kwa maslahi ya nani?, Au msajili anamiliki chuo cha uuguzi anataka ajaze wanafunzi?,,,sio kweli kwamba uhaba wa wauguzi unatokana na wahitimu wachache,bali unatokana na serikali kutokuajiri wauguzi .
Uuguzi ni fani muhimu inayohusika katiba kuokoa maisha ya watu,tusikubali kua kichaka cha waliofeli,uuguzi isiwe kimbilio la waliofeli...
Kwa pamoja tupingane na udidimizaji wa taaluma ya uuguzi...
A
Anonymous
7 years ago
NofailureNurse
A
Anonymous
7 years ago
hii in hatari sana inazidi kudidimiza taaluma ya uuguzi tunaitaji taaluma ya uuguzi isimame kama taaluma zingine na kutambulika ndipo tutaweza kufikia malengo ya kimataifa na siyo kwa kupunguza sifa za udahili
J
JITRIHADA RUTAMO
7 years ago
Viwango vya udahili vibaki hivohivo ili kukuza hadhi na heshima kwa fani ya uuguzi za ukunga,
K
Kidenya Sita
7 years ago
Hapana hii Haiwezekani kabisa kufanya hivyo ni kushusha ubora wa wauguzi katika soko la kimataifa, Tunahitaji wauguzi wenye ufaulu mzuri ili tuweze kushindana vizuri katika soko la ajira pamoja na kupata madaraja mazuri ya mishahara, maana Haiwezekani ukawa na daraja zuri la mshahara wakati una ufaulu wa kubahatisha, tunatakiwa tuikatae hii kwa nguvu zetu zote.
R
Reuben
7 years ago
HAPANA
M
Monica lukonge
7 years ago
Napinga
D
Devotha munisi
7 years ago
Hapana ilikujiweka kwenye ulimwengu was elimu kushusha viwango nikujiua pia tuwena jobdiscription
K
Kunambi Erick
7 years ago
Sio Sahihi
S
steveFM
7 years ago
Haikubaliki, inarudisha nyuma taaluma hii adhimu ya uuguzi
Hapana
No
We don't need losers in this proffesional
Hizo ni short term solution katika permanent solution namna nzuri ya kuvutia watu wapende uuguzi ni kuangalia maslahi na mishahara mizur kwa uuguzi na wala sio kupunguza marks za udahili.
Waache ujinga TANA.
There is no need,,as students have to study hard to qualify,and decreasing makes nursing and midwifery seems very cheap and easy and workers have no qulity
HAPANA
Hapana hapo ni kudhalilisha kozi
Once upon the time, Nursing it was seen as the failures professional, different organizations established in order to enhence and to make nursing the known professional. One of the organization established are TANNA, UNISATA In universities but a single person with non logical idea wants to demoralize the professional. I say big No. Let's work together Nurses to Say No
That is suicidal ideation
Idadi ya wahitimu kwa ngazi ya certificate na diploma ni kubwa sana na wengi wa wahitimu hao wapo mtaani na hawajapata ajira. Kama wapo wahitimu wengi na hawajapata ajira,Je tunapunguza viwango vya kujiunga kwa Maslahi ya nani?, Msajili anaviombea vyuo vipate wanafunzi wengi kwa maslahi ya nani?, Au msajili anamiliki chuo cha uuguzi anataka ajaze wanafunzi?,,,sio kweli kwamba uhaba wa wauguzi unatokana na wahitimu wachache,bali unatokana na serikali kutokuajiri wauguzi . Uuguzi ni fani muhimu inayohusika katiba kuokoa maisha ya watu,tusikubali kua kichaka cha waliofeli,uuguzi isiwe kimbilio la waliofeli... Kwa pamoja tupingane na udidimizaji wa taaluma ya uuguzi...