Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
F
Felister Felix Makendi
7 years ago
Hapana,,,huko Ni kuuwa taaluma...tunarudi tulikotoka
A
Ayoub charles
7 years ago
Hapana kushusha vigezo vya udahili
P
Petro Lazaro
7 years ago
Hapana
J
Juma ramadhan
7 years ago
Tuwe na maono juu ya taaluma yetu,ninasikitishwa sana vikao vya wauguzi, msemaji mkuu ni daktari .....
D
Daudi
7 years ago
Binafsi Kama muuguzi nnaejitambua NASEMA HAPANA sikubaliani na issue ya kupunguza vigezo vya udahili
H
Hezron yuda
7 years ago
Nasema hyo kauli ni hapana
L
lidya
7 years ago
No
T
Tonny james
7 years ago
kama tutakubaliana na mapendekezo basi ya msajili basis tutakuwa tumeruhusu kitu hatari sana kweny taaluma hii ya uuguzi.
R
Rukia Salim
7 years ago
Siafiki kilichozungumzwa kuhusu udahili.
Y
yona amon
7 years ago
HAPANA
S
Stephen brown
7 years ago
Hapana kushusha vigezo n kuua taaluma
K
Kanaeli Uriyo
7 years ago
Tunahitaji kupata wauguzi watakaotokana na uelewa mzuri wa sayansi ya utabibu na ukuaji wake. Tuhimize ufaulu wa juu wa masomo hayo tangu awali kwa wanajiunga na fani ya uuguzi.
M
Mganyizi Philbert
7 years ago
Siungi mkono hoja ya msajili
P
Peter Shirima
7 years ago
This is not a professional for failures.... disgusting...
A
Anonymous
7 years ago
I really disagree with registrers discussions
G
GOODLUCK GERVAS
7 years ago
No to change in entry requirements in nursing professional
Hapana,,,huko Ni kuuwa taaluma...tunarudi tulikotoka
Hapana kushusha vigezo vya udahili
Hapana
Tuwe na maono juu ya taaluma yetu,ninasikitishwa sana vikao vya wauguzi, msemaji mkuu ni daktari .....
Binafsi Kama muuguzi nnaejitambua NASEMA HAPANA sikubaliani na issue ya kupunguza vigezo vya udahili
Nasema hyo kauli ni hapana
No
kama tutakubaliana na mapendekezo basi ya msajili basis tutakuwa tumeruhusu kitu hatari sana kweny taaluma hii ya uuguzi.
Siafiki kilichozungumzwa kuhusu udahili.
HAPANA
Hapana kushusha vigezo n kuua taaluma
Tunahitaji kupata wauguzi watakaotokana na uelewa mzuri wa sayansi ya utabibu na ukuaji wake. Tuhimize ufaulu wa juu wa masomo hayo tangu awali kwa wanajiunga na fani ya uuguzi.
Siungi mkono hoja ya msajili
This is not a professional for failures.... disgusting...
I really disagree with registrers discussions
No to change in entry requirements in nursing professional
Haiwezekani , napinga na ningependekeza viongezwe

Sikubaliani na mapendekezo