Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.
279 Comments
J
Joseph jinasa
7 years ago
Hapana kupunguza alama za udahili
S
Shabani iddy
7 years ago
Hapana kupunguza alama za udahili wa wauguz katika ngazi zote chet na astashahada.
H
Hilary
7 years ago
Napinga kauli ya kupunguza vigezo
A
Anonymous
7 years ago
HAPANA
A
Anonymous
7 years ago
Kwann alama zishushwe, kwa mtu kusajiliwa chuoni inabidi afikie alama kadhaa ikimaanisha mtu huyu kwa kada hii anafaaa ndio maana alama ziliwekwa, sio lwama alama zinawekwa ili kujaza watu vyuoni ifikie kipindi masilahi ya taasisi yasiwekwe kipaumbele kwenye kushusha hadhi ya taaluma zetu, ebu manesi tuamke
J
Joseph Samwel Ng'humba
7 years ago
Big NO.
Faculty of nursing is not a course of failed students,,,
A
Agnes
7 years ago
We are in digital generation so we don't want such anolg information from those who are in centralization position they are supposed to put strategies on how we improve our nursing profession but in the issue of private institution they lack students,that is anolg thinking as per say
B
brown
7 years ago
i disagree with the issue of lowering nursing admission criteria
N
Nominee Abelian
7 years ago
wasifanye watu waone uuguzi ni ngazi
Saiv inapaswa CC'D
Then afterwards tung'ang'anie Job description kwa sasa
L
Leloo Anthony
7 years ago
Hili halikubalik hata kidogo, maslahi ya watu wachache yasitumike kuharibu muimarisho wa kitaalamu ya uuguzi ..tuwapinge vikali kabsa hawa
A
Adelina Lambert Kabakama
7 years ago
Sikubali mabadiliko katika kudaili wauguzi kwani watu wanaotaka hayo mabadikiko wana maslai yao binafsi.
M
muhenga gabriel
7 years ago
i say big no to liwer glades
K
Kaitaba faraja
7 years ago
Vigezo vya kujiunga na fani ya uuguzi visibadilishe kwa maendeleo ya fani.
Y
Yono Martin
7 years ago
For sure, it will bring negative picture and it will be considered as the profession for failures, both in schools and working enviroment.
No political, lets care about our people.
R
Razaki Songolo
7 years ago
Kitu pekee wanachopaswa kukipigania ni maslahi mazuri ya wauguzi na mazingira rafiki ya kazi hii itavutia wanafunzi kuchagua uuguzi na ukunga na sio vigezo hafifu
E
Elibariki Msoka
7 years ago
Its memorandum of under standing!!!!!!
F
Frank Lwehela
7 years ago
HATUWEZI KUSHUSHA UFAULU,HAPA TUTAKUWA TUNATENGEZA WAUGUZI WA AINA GANI??
NDIO MAANA HII FANI WANAICHUKULIA KAMA DUMPING SITE.
VERY BIG NOOO!!
HAKUNA KUSHUSHA UFAULU,LABDA WAONGEZE.
O
Osmundy mkanula
7 years ago
Hapana
N
Nice
7 years ago
No
S
Shija Machiya
7 years ago
Biashara ya kuuza wanafunzi kwa vyuo binafsi ifike mwisho!
Washushe Ada na siyo vigezo!!
Hapana kupunguza alama za udahili
Hapana kupunguza alama za udahili wa wauguz katika ngazi zote chet na astashahada.
Napinga kauli ya kupunguza vigezo
HAPANA
Kwann alama zishushwe, kwa mtu kusajiliwa chuoni inabidi afikie alama kadhaa ikimaanisha mtu huyu kwa kada hii anafaaa ndio maana alama ziliwekwa, sio lwama alama zinawekwa ili kujaza watu vyuoni ifikie kipindi masilahi ya taasisi yasiwekwe kipaumbele kwenye kushusha hadhi ya taaluma zetu, ebu manesi tuamke
Big NO. Faculty of nursing is not a course of failed students,,,
We are in digital generation so we don't want such anolg information from those who are in centralization position they are supposed to put strategies on how we improve our nursing profession but in the issue of private institution they lack students,that is anolg thinking as per say
i disagree with the issue of lowering nursing admission criteria
wasifanye watu waone uuguzi ni ngazi Saiv inapaswa CC'D Then afterwards tung'ang'anie Job description kwa sasa
Hili halikubalik hata kidogo, maslahi ya watu wachache yasitumike kuharibu muimarisho wa kitaalamu ya uuguzi ..tuwapinge vikali kabsa hawa
Sikubali mabadiliko katika kudaili wauguzi kwani watu wanaotaka hayo mabadikiko wana maslai yao binafsi.
i say big no to liwer glades
Vigezo vya kujiunga na fani ya uuguzi visibadilishe kwa maendeleo ya fani.
For sure, it will bring negative picture and it will be considered as the profession for failures, both in schools and working enviroment. No political, lets care about our people.
Kitu pekee wanachopaswa kukipigania ni maslahi mazuri ya wauguzi na mazingira rafiki ya kazi hii itavutia wanafunzi kuchagua uuguzi na ukunga na sio vigezo hafifu
Its memorandum of under standing!!!!!!
HATUWEZI KUSHUSHA UFAULU,HAPA TUTAKUWA TUNATENGEZA WAUGUZI WA AINA GANI?? NDIO MAANA HII FANI WANAICHUKULIA KAMA DUMPING SITE. VERY BIG NOOO!! HAKUNA KUSHUSHA UFAULU,LABDA WAONGEZE.
Hapana
No
Biashara ya kuuza wanafunzi kwa vyuo binafsi ifike mwisho! Washushe Ada na siyo vigezo!!