Skip to main content

Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.

279 Comments

A
Amne
7 years ago

HAPANA

L
Lucy
7 years ago

I support the change towards nursing progression

F
Felix Ezekiel Taganya
7 years ago

No i dont agree any more.

P
paschal
7 years ago

hapana

F
Francis mgallah
7 years ago

HAPANA!!!! Huyu msajiri & waliopendekeza hawatufai kwa mamlaka walizopewa kutetea kada ya uuguzi nchini

B
blessing mseke
7 years ago

Nursing sio eneo la waliofeli. Hakuna kurudisha credit nyuma

R
Rashma suleiman
7 years ago

Hapana

I
Innocent Lukiza
7 years ago

I can't watch this profession dying

E
Evodius Joas Mpesha
7 years ago Featured

HAPANA. Ili kukuza professional ya NURSING, tunahitaji vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiria, wenye kufanya Maamuzi yaliyo sahihi na wanaojisimamia ktk Haki. Ili kuwapata hawa lazima tuangalie Ufaulu wao. Entry Qualifications zibaki vile vile.

S
Selemani Salim
7 years ago

Big no for this decision

J
Jeremiah Bhoyi
7 years ago

It’s real shame kwa msajili kuja na idea ya kupunguza kiwango cha ufaulu kwa mwanafunzi anaejiunga nursing school, haja zilizotolewa hazina mashiko ata kidgo, haiwezekani kufanya comparison ya kada nyingine ya ufaulu then ukaihamishia kwa kada ya nursing, but Bado kuna kila dakika za kutaka kujaza vyuo vya private, ambavyo vingi vinamilikiwa na watendaji wa serikali hususani wizara ya Afya, Msajili wa baraza la Wauguzi ana kila sababu ya kupitia tamko lake ambalo hata yy mwenyewe inaonekana amelazimishwa na katibu wizara Uhaba wa wauguzi currently hausababibishwi na uhaba wa wanafunzi vyuoni, kuna graduate wengi wako mtaani wamekosa ajila hadi leo, Msajili Hana sababu yyte ya kushusha viwango vya ufaulu

G
Gilbert
7 years ago

HAPANA

L
Lujani Hoho
7 years ago

Kitendo cha kushusha Admission criteria ya student nurses kujiunga na chuo siyo njia ya kukidhi mahitaji wa wauguzi nchini Bali ni mikakati aidha ya makusudi au bahati mbaya ya kuiangamiza taaluma ya uuguzi. Njia nzuri ni kuboresha mifumo kwanza ya destination ya muuguzi baada ya kuhitimu mafunzo ikiwa ni pamoja na kuboresha mazingira ya kazi, kuwalinda wauguzi wakiwa katika vituo vyao vya kazi (jambo hili linaathili sana maamuzi ya watanzania kuendelea au kutokuendelea kupeleka watoto wao kusomea uuguzi, wanasiasa wamewajengea wananchi tabia ya kuwaona wauguzi kama adui zao badala ya rafiki zao na kimbilio lao wakati wa ugonjwa na udhaifu kiafya. Tabia hizi zina wafanya wananchi kuona kwamba muuguzi hayuko salama. Na kama tunavyojua, hakuna mtu angependa kufuata njia ambayo anaona waliotangulia kuipita wameteswa na kuuawa. Kwa hiyo hapa so swala la kushusha pass mark Bali ni swala la kutengeneza mfumo mzuri na salama kwa muuguzi akiwa shule na atakapokuwa katika kituo cha kazi na uraiani. Tuondoe kwanza hofu kwa wananchi juu ya tishio la kiusalama wa muuguzi, Nina imani kubwa tunaweza kuwavuta watanzania wengi kujiunga na mafunzo katika taaluma ya uuguzi. Na jambo la mwisho japo si kwa umuhimu ni swala la masilahi ya muuguzi: 1. kupewa mishahara inayoendana na majukumu makubwa na magumu aliyonayo muuguzi 2. Kupewa motisha mbalimbali za kimazingira na kiutendaji anapokuwa akitekeleza majukumu yake. Hii ni pamoja na zamu za usiku, kufanya kazi katika mazingira yenye hatari ya kuambukizwa magonwa yakiwemo yasiyo na tiba kama vile HIV na Hepatitis, kupata ulemavu wa muda au wakudumu akiwa anatekeleza majukumu yake ya kuokoa uhai wa wagonjwa na kutoa tumaini kwa familia zao nk. 3. Kupewa utambuzi maalumu mbali mbali pale muuguzi anapofanya kazi zake kwa kiwango na ubora wa hali ya juu. NINQOMBA BARAZA NA WADAU KWA PAMOJA TUACHE KABISA KUSHUSHA VIGEZO VYA KUJIUNGA KATIKA MAFUNZO YA UUGUZI.

A
Anonymous
7 years ago

Maamuz hayo sio sahihi, hii nikuishusha hadhi kada ya uuguzi, so apingue kauli, tuendelee na viwango vilevile, wenye vigezo ni wengi. Alitoa tamko bila research,

B
Bago
7 years ago Featured

Haikubaliki siasa+wafanyabiashara kuchezea fani...halafu hawa hawa badae wanasmama kwnye media kusema "NESI KAFANYA HV..NESI KAFANYA VILE...HII HAIKUBALIKI" Tunahtaji wauguzi imara waliojengwa na kupitia misingi imara ya kielimu,na hii inaonekana kupitia ufaulu wa ngazi za sekondari

A
Anonymous
7 years ago

I don't agree to lower the qualification...It should remain as it was before

L
Lazaro Julius
7 years ago

Entry qualifications should remain as they are and not otherwise

K
Kija
7 years ago

Hii haikubaliki ,naomba wahusishwe upya katika hili la viwango

J
jasper jasson
7 years ago

HAPANA KUPUNGUZA ALAMA

J
James Kaulule
7 years ago

I don't agree with such changes as per Agnes Mtawa`s public announcement