Skip to main content

KIGAMBONI-KIDETE INASEMA HAPANA KWA BANDARI KAVU!!!!

71 Comments

E
Eng.Ernest Sollo Verified
1 day ago

1:Miundombinu iliyopo haiwezi kukidhi malori yenye mizigo mfululizo. 2:Kwenye mipango mji,hakuna sehem kuna plan ya kuwa na ICD kigamboni. 3:Nin kimefanyika cha tofaut kuhost ICD hii?(Kubadili matumiz ya ardhi) 4:Report ya mazingira ipo wapi kabla ya mradi?? 5:Athari kwa jamii tunaziepuka kwa namna gani,msongamano,Usalama wa watoto,Miundombinu zilizopo(barabara,njia za maji nk.) 6:Walioidhinisha huu mradi tuna uhakika ni wakazi wa kigamboni?mbona kama kuna viashiria vyakuwashirikisha Takuru

O
Omari Kaukuya Verified
1 day ago

Napinga uwepo wa bandari kavu (ICD) kibugumo kwa kuwa eneo hilo sio rafiki kwa shighuli izo za bandari kavu kutokana na shughuli za kijamii zilizopo eneo hilo, kama vile:- 1. Uwepo wa shule za secondary na msingi kwenye eneo hilo. Kaka hilo kuna shule 2 za secondary ambazo zipo umbali wa wastani mita 100 kutoka kwenye eneo ambalo linakusudiwa kujengwa ICD na uwepo wa shule ya msingi kwa umbali mita 50 kutoka kwenye eneo hilo. 2. Ni eneo ambalo limezungukwa na makazi ya watu

G
George Mathias Verified
1 day ago

Mimi ni mkazi wa kigamboni, ninapinga mabadiliko ya matumizi ya viwanja hivyo kutokana na athari za kiafya na kijamii zitakazoweza kutokana na ujenzi wa bandari kavu eneo la makazi ya watu.

J
Jafari Ibrahim Verified
1 day ago

It will cause unnecessary congestion to residential area while there is a reservation for dry port at Kwala still unused

A
Abdallah MGWAMI Verified
1 day ago

kwa uimara na ustawi wa jamii husika hususani kupinga kadhia zinazokuja na uwepo wa ICD kwenye maeneo ya makazi.

J
John Yahya Verified
1 day ago

Eneo husika halina miundombinu sahihi kwa ajili ya ICD

P
PROS KWEKA Verified
1 day ago

Miundombinu si rafiki kwa ICD pia ni eneo la makaazi kuweka ICD kunahatarisha usalama wa watoto

T
Tuntufye Mwaiteleke Verified
1 day ago

Barabara za kigamboni haziwezi kumudu ejenzi mwingine wa bandari kavu. Tunaombwa waende Buyuni

J
Joram Mtemvu Verified
1 day ago

1. Bandari kavu itapelekea msongamo wa magari kwenye babara zote zinazotoka bandari kuu hadi bandari kavu inayolengwa kujengwa kutokana na wingi wa malori yanayotembea taratibu na kuegeshwa barabarna hivyo kuathiri usafiri na shughuli za kiuchumi na kijamii. 2. Wanafunzi wa shule zilizopo jirani watakosa utulivu na usalama kutokana na kuongezeka shughuli mbalimabali zitakazoletwa na kuwepo kwa bandari kavu katika eneo hilo pamoja magari yatayokuwa yanapita eneo hilo.

S
Sabina Luoga Verified
1 day ago

The must be proper traffic management plan

H
Hamad Hamad Verified
1 day ago

Ok

K
Kelvin John Verified
1 day ago

Mwekezaji alikubali kujenga ukuta kwenye shule, Majirani tuache roho mbaya huu Mradi utalutea Ajira na hata mapato hapa Halmashauri kwani mapato yetu bado ni madogo, mwacheni afanye uwekezaji tuinataka

I
Ibrahim Benjamin Verified
1 day ago

Eneo la makazi Barabara changamoto Eneo la karibu na shule ni hatari kwa watoto

M
MOSES ZAHORO Verified
1 day ago

Near the school

H
Hosea MWAKYOMA Verified
1 day ago

Sio sehemu sahihi ya Kujenga BANDARI KAVU.

L
Lemky Ally Verified
1 day ago

Hivi ICD kwa Kigamboni kwa nini zisipelekwe kujengwa kwenye maeneo ya vinwanda huku Kisarawe II na Mwasonga ndiko kwenye maeneo makubwa na yalio wazi kwa shughuli hizo sio kwenye maeneo yenye makaazi ya watu ,,, hasa hapo Kibugumo kuna shule tatu(3), hapo kwenda kuharibu watoto wa shule hizo

Y
Yahaya Baraka Mlavwasi Verified
1 day ago

Ifike mahali maeneo ya makazi yabaki kuwa maeneo ya makazi,hizi huduma za bandari zitengewe eneo na barabara yake

R
Rahma JABEY Verified
1 day ago

binafsi ninapinga ujenzi wa Bandari kavu kwasabu itaongeza msomangamo wa magari kutokana na ufinyu wa barabara pia ni hatarishi kwa wakazi hata hivyo changamoto usalama wa utakuwa hatarini

M
Macdona Masali Verified
1 day ago

Hatutaki kero kwenye makazi. Pelekeni Kwara

M
Melania Mlelwa Verified
1 day ago

I sign, in support of this petition, as a land owner in the Kidete community. The proposed develpment site is located within a residential area, with multiple schools, and hospital. This location is not suitable for the construction of a large sale, commercial land depot. Heavy goods vehicles will cause a hazard to children travelling to school, unaccetable road congestion, noise pollution, air polution and enviromental damage. Such a development should be relocated outside the city.