KIGAMBONI-KIDETE INASEMA HAPANA KWA BANDARI KAVU!!!!
75 Comments
Y
Yahaya Baraka Mlavwasi
1 day ago
Ifike mahali maeneo ya makazi yabaki kuwa maeneo ya makazi,hizi huduma za bandari zitengewe eneo na barabara yake
R
Rahma JABEY
2 days ago
binafsi ninapinga ujenzi wa Bandari kavu kwasabu itaongeza msomangamo wa magari kutokana na ufinyu wa barabara pia ni hatarishi kwa wakazi hata hivyo changamoto usalama wa utakuwa hatarini
M
Macdona Masali
2 days ago
Hatutaki kero kwenye makazi. Pelekeni Kwara
M
Melania Mlelwa
2 days ago
I sign, in support of this petition, as a land owner in the Kidete community.
The proposed develpment site is located within a residential area, with multiple schools, and hospital. This location is not suitable for the construction of a large sale, commercial land depot.
Heavy goods vehicles will cause a hazard to children travelling to school, unaccetable road congestion, noise pollution, air polution and enviromental damage.
Such a development should be relocated outside the city.
P
Prince255 Jrjenje
2 days ago
Iād like to share my personal opinion.ā
D
Denis Mbulule
2 days ago
Si vyema ICD kuwepo karibu na Makazi ya watu. ICD zielekezwe maeneo stahiki yaliyotengwa kwaajili yao. Miundombinu ya Barabara haitoshelezi kuhudumia ICD na wananchi kwa wakati mmoja
C
Christian Israel
2 days ago
It will lead to a heavy traffic due to narrow roads arround Kigamboni, the trucks will be occupying space
K
kadida makame
2 days ago
Featured
Kwanini tusitumie maeneo yalipo mbele zaidi ya mji kuweka bandari kavu? Hapa pana shule mbili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu zaidi na zinahitaji maeneo zaidi kwa ustawi wa watoto wa kitanzania,bandari kavu karibu na eneo la huduma kuu za serikali kwa wakazi wa kigamboni,zitakuja kutatiza upatikanaji mzuri wa huduma huko mbeleni na kufanya jitihada njema za ofisi nyingi za serekali zilizopo kuja kuwa na thamani iliyoshuka, kura ya hapana kuanzishwa kwa bandari kavu eneo la kibugumo s
S
Sinsina Ngozi
2 days ago
Featured
Eneo lile bila kuboresha miundombinu ya bara bara halitafaa kwa matumizi hayo kwanza itaongeza msongamano ambayo pia tyar ni mkubwa kulingana na ufinyu wa bara bara pia ni maeneo yenye shule. uhatari wake kwa wale watoto bila kutanua bara bara na kuweka mifumo mizuri ya maegesho
S
SUDI ABUBAKARI
2 days ago
Sababu zimeelezwa wazi. Tujifunze athari zilizojitokeza kwenye bandari kavu zilizopo maeneo mengine ya mjini
D
Dotto Mnyadi
2 days ago
Featured
Hili si suala la kupinga maendeleo, bali ni kutetea maendeleo yanayozingatia usalama, afya, mazingira na ustawi wa wananchi. Ikiwa hata TASAC imesimamisha utoaji wa leseni mpya za Bandari Kavu Dar es Salaam ili kutathmini kwanza uwezo wa maeneo yaliyopo, basi ni muhimu ombi la ICD Kibugumo nalo lisubiri tathmini ya kina. Eneo hili ni la makazi liko karibu na shule na lina miundombinu finyu ya barabara. Maoni ya wananchi yasipuuzwe. Tunahitaji maendeleo, lakini si kwa gharama ya usalama na maisha
I
ISMAIL MOHAMED
2 days ago
Featured
Ninapinga Ujenzi wa Bandari Kavu katika eneo Hilo kutokana na uzoefu wa Adha ziletwazo na Bandari kavu kwenye maeneo ya Makazi
M
Maro Mchomu
2 days ago
it will create environmental hazards to our children, students and the community as whole.
S
simenya kalufya
2 days ago
Featured
Because our lifestyle will at risk
1. Traffick jam will increase
2. Will be dangerous for the student around
3. So many things will change and make our life miserable
Ifike mahali maeneo ya makazi yabaki kuwa maeneo ya makazi,hizi huduma za bandari zitengewe eneo na barabara yake
binafsi ninapinga ujenzi wa Bandari kavu kwasabu itaongeza msomangamo wa magari kutokana na ufinyu wa barabara pia ni hatarishi kwa wakazi hata hivyo changamoto usalama wa utakuwa hatarini
Hatutaki kero kwenye makazi. Pelekeni Kwara
I sign, in support of this petition, as a land owner in the Kidete community. The proposed develpment site is located within a residential area, with multiple schools, and hospital. This location is not suitable for the construction of a large sale, commercial land depot. Heavy goods vehicles will cause a hazard to children travelling to school, unaccetable road congestion, noise pollution, air polution and enviromental damage. Such a development should be relocated outside the city.
Iād like to share my personal opinion.ā
Si vyema ICD kuwepo karibu na Makazi ya watu. ICD zielekezwe maeneo stahiki yaliyotengwa kwaajili yao. Miundombinu ya Barabara haitoshelezi kuhudumia ICD na wananchi kwa wakati mmoja
It will lead to a heavy traffic due to narrow roads arround Kigamboni, the trucks will be occupying space
Kwanini tusitumie maeneo yalipo mbele zaidi ya mji kuweka bandari kavu? Hapa pana shule mbili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu zaidi na zinahitaji maeneo zaidi kwa ustawi wa watoto wa kitanzania,bandari kavu karibu na eneo la huduma kuu za serikali kwa wakazi wa kigamboni,zitakuja kutatiza upatikanaji mzuri wa huduma huko mbeleni na kufanya jitihada njema za ofisi nyingi za serekali zilizopo kuja kuwa na thamani iliyoshuka, kura ya hapana kuanzishwa kwa bandari kavu eneo la kibugumo s
Eneo lile bila kuboresha miundombinu ya bara bara halitafaa kwa matumizi hayo kwanza itaongeza msongamano ambayo pia tyar ni mkubwa kulingana na ufinyu wa bara bara pia ni maeneo yenye shule. uhatari wake kwa wale watoto bila kutanua bara bara na kuweka mifumo mizuri ya maegesho
Sababu zimeelezwa wazi. Tujifunze athari zilizojitokeza kwenye bandari kavu zilizopo maeneo mengine ya mjini
Hili si suala la kupinga maendeleo, bali ni kutetea maendeleo yanayozingatia usalama, afya, mazingira na ustawi wa wananchi. Ikiwa hata TASAC imesimamisha utoaji wa leseni mpya za Bandari Kavu Dar es Salaam ili kutathmini kwanza uwezo wa maeneo yaliyopo, basi ni muhimu ombi la ICD Kibugumo nalo lisubiri tathmini ya kina. Eneo hili ni la makazi liko karibu na shule na lina miundombinu finyu ya barabara. Maoni ya wananchi yasipuuzwe. Tunahitaji maendeleo, lakini si kwa gharama ya usalama na maisha
Ninapinga Ujenzi wa Bandari Kavu katika eneo Hilo kutokana na uzoefu wa Adha ziletwazo na Bandari kavu kwenye maeneo ya Makazi
it will create environmental hazards to our children, students and the community as whole.
Because our lifestyle will at risk 1. Traffick jam will increase 2. Will be dangerous for the student around 3. So many things will change and make our life miserable
Hii ni hatari