Skip to main content

KIGAMBONI-KIDETE INASEMA HAPANA KWA BANDARI KAVU!!!!

68 Comments

A
Alvin Nahum Verified
21 hr ago

Uharibifu wa barabara, msongamano wa barabarani

N
Ndeanasiq Mamkonyi Verified
21 hr ago

There are facilities for a dry port in kwala Coast region Government has already invested to decongest the city. For that reason no need to create havoc to the residents of these residentisl areas.

E
Eunice Chiume Verified
21 hr ago

It is inhumane and unjustifiable to reduce the quality of life of Kigamboni residents simply to increase tax collections from cash-rich businesses. The interests, health, safety, and well-being of residents must not be sacrificed for commercial or revenue-collection objectives. There are alternative locations that can accommodate Inland Container Depots (ICDs), We therefore urge the relevant authorities to identify with Kigamboni residents plight and reverse decisions

A
Arafat Geza Verified
21 hr ago

Maeneo ya viwanda yapo Kisarawe 2. Barabara za Geza hazitofaa kutumika. Maendeleo haya yakafanyike sehemu maalum zilizoyengwa

R
Raymond DMak Verified
23 hr ago

Naunga mkono kuzuia au kusimamisha ujenzi wa ICD unaoendelea maeneo ya kibugumo shule kwani eneo lile si rasmi kwa ajili ya bandari kavu bali Makazi (residential). Kwa mamlaka husika ni muhimu kuwazingatia Jamii kwa ujumla, Familia na wanafunzi wa shule za ukanda wa kidete watakao athirika na ujenzi huu katika Mazingira, kiafya na miundo mbinu kuaribiwa (barabara)

E
EDWARD SAM Verified
1 day ago

Ni katibu na makadhi ya watu na makao makuu ya wilaya, wakajenge kisarawe II ambako mazingira yanatuhusu

M
Mrisho Harambe Verified
1 day ago

Zuio la ujenzi wa Bandari Kavu

H
Hamisi Mkao Verified
1 day ago

The available infrastructures are designed for households and not ICDs.

M
Marcely Kanoni Verified
1 day ago

Safety reasons

R
Rukonge Jones Verified
1 day ago

Narrow and weak road and infrastructures, availability of nearby primary and secondary school, invironmental constraints and traffic congestion as well as human settlements all around the area

F
Fred Odatt Verified
1 day ago

Uwepo wa bandari kavu katika makazi ya watu itahatarisha maisha ya wakazi wa Kidete ikiwemo watoto na wanafunzi.

M
Mkazi Kidete Verified
1 day ago

Ni karibu sana na shule mbili za sekondari pia makazi ya watu..hatari za mlipuko wa magonjwa ,ajali kutokana na magari mengi na makubwa ,uharibifu wa miundombinu na foleni..uwezekano wa kuwepo mizigo hatarishi na inayolipuka kudhuru watu...tabia mbaya za baadhi ya madereva wa malori kuhatarisha usalama wa wanafunzi hasa wa kike..

E
Edwin Mhande Verified
1 day ago

It’s Residential. Infrastructure available are for households

M
MAXIMILIAN MMASI Verified
1 day ago

It Avoid a lot of distraction distabance that will come from The YARD

J
Jonah Gaspar Verified
1 day ago

The ICD is being constructed in a residential area causing problems to all residents in their respective areas including blocking roads, noise pollution and inconveniences

K
kidoto julius Verified
1 day ago

Ni kwaajili ya kulinda usalama wa watoto wa shule,kuepusha msongamano wa magari na kulinda miundombinu.

D
Daines Salum Verified
1 day ago

This is important for our future generation

E
Eng.Ernest Sollo Verified
1 day ago

1:Miundombinu iliyopo haiwezi kukidhi malori yenye mizigo mfululizo. 2:Kwenye mipango mji,hakuna sehem kuna plan ya kuwa na ICD kigamboni. 3:Nin kimefanyika cha tofaut kuhost ICD hii?(Kubadili matumiz ya ardhi) 4:Report ya mazingira ipo wapi kabla ya mradi?? 5:Athari kwa jamii tunaziepuka kwa namna gani,msongamano,Usalama wa watoto,Miundombinu zilizopo(barabara,njia za maji nk.) 6:Walioidhinisha huu mradi tuna uhakika ni wakazi wa kigamboni?mbona kama kuna viashiria vyakuwashirikisha Takuru

O
Omari Kaukuya Verified
1 day ago

Napinga uwepo wa bandari kavu (ICD) kibugumo kwa kuwa eneo hilo sio rafiki kwa shighuli izo za bandari kavu kutokana na shughuli za kijamii zilizopo eneo hilo, kama vile:- 1. Uwepo wa shule za secondary na msingi kwenye eneo hilo. Kaka hilo kuna shule 2 za secondary ambazo zipo umbali wa wastani mita 100 kutoka kwenye eneo ambalo linakusudiwa kujengwa ICD na uwepo wa shule ya msingi kwa umbali mita 50 kutoka kwenye eneo hilo. 2. Ni eneo ambalo limezungukwa na makazi ya watu

G
George Mathias Verified
1 day ago

Mimi ni mkazi wa kigamboni, ninapinga mabadiliko ya matumizi ya viwanja hivyo kutokana na athari za kiafya na kijamii zitakazoweza kutokana na ujenzi wa bandari kavu eneo la makazi ya watu.