Skip to main content

Uchaguzi Konferensi ya Kusini Mashariki Tanzania (SEC)

24 Comments

A
Anonymous
3 years ago

Tuheshimu Mutingozo wa Kanisa (katiba ambayo ndiyo inayotambulika kisheria.)

J
James John
3 years ago

Uchanguzi bora ni ulehunaofata taratibu za kikanuni zilizoweka chakusikitisha wale tuliowapa dhamana ya kuongoza ndo wakwanza kuvunja kanuni zilizowekwa viongozi. SEC fateni kanuni ya kanisa

W
Wasanda Jackson
3 years ago

Hawafanyi haki

M
Moshi Zakaria wa Chang'ombe SDA CHURCH
3 years ago

Naomba kufuata mwongozo wa kanisa na katiba ya SEC na Working policy.

G
Geofrey Karogo
3 years ago

Tufuate muongozo wetu wa kanisa na tuuheshimu.

M
Mjemah
3 years ago

Sikubaliani na mfumo unao tumika nje ya kanuni

F
Faustin Masanja
3 years ago

Kanisa ni letu sote na sio la viongozi. Kwa hiyo lazima kanuni ya kanisa izingatiwe.

M
Msafiri
3 years ago

Uchaguzi haujafata kanuni ya kanisa Wala katiba ya konferensi hivo ni batili

F
Fadhili Gasper
3 years ago Featured

Hii haiko sawa uchaguzi gani mtu wanachagua jinsia kabisa kanisa lina washiriki 1200 linaambiwa lipeleke mtu mmoja Tena mwanamke jaman

N
Nathan Yophi
3 years ago

Proceed

S
Simon
3 years ago

kanuni hazijafatwa,

J
Josephat magesa
3 years ago

0716446416

T
Titus Osoro
3 years ago

Uchaguzi wa wajumbe haukufata kanuni ya kanisa

D
Daniel Joseph
3 years ago

UCHAGUZI HUU NI BATILI KWA SABABU KANUNI YA KANISA IMEKIUKWA KATIKA NAMNA YA KUPATA WAJUMBE WA UCHAGUZI.KUNA ULAGHAI WA HALI YA JUU..HAIKUBALIKI HATA KIDOGO.

Y
Yusuph Mugeta
3 years ago

Msiangalie hilo la jinsia na umri peke yake, Kanisani kwetu mchungaji alisoma tu Barua kwenye simu yake akagoma kuikabidhi, kisha akasimamia uchaguzi papo hapo! Kuna kasoro (irregularities) nyingi mno zilizofanywa katika zoezi hili. Nyingi hazijulikani kwa sababu tu hakuna platform (jukwaa) la Kukusanya mrejesho. Tungeshangaa kuona wachungaji wa mitaa wanavyotumiwa vibaya kwa vituko walivyofanya kana kwamba akili zao zimebinafsishwa ofisini SEC. Jukwaa hili pia lihimize maoni toka kwa washiriki makanisani kote ili ukiukwaji wote urekodiwe kuwa sehemu muhimu ya ushahidi dhidi ya genge hili la unyang'anyi.

P
Paschal
3 years ago

SEC Wamevunja kanuni na wamekua na ujanja ujanja ili warudi kua viongozi na Wana tuhuma nyingi mnoo inabidi wakae pembeni

J
JOHN ISSAYA
3 years ago

siku baliana mwuongozo mnauleta wa kutuchangulia watu mnawo wataka nyinyi na kwamaslai yenu mimi napinga maelekezo mlioyaleta mtuache tuchague wajumbe tunao wataka sisi sio nyinyi.

E
Ezra Nehemia Ogunde
3 years ago

Sikubaliani na utaratibu uliotolewa na conference ambao unalekeza ni jinsia gani wanayo ihitaji na wakati sio utarati wa kanuni elekezi kuwa mjumbe awe ni wa jinsia gani wanayo ihitaji na wakati sio utarati wa kanuni na kanuni haizungumzia aina ya jinsia

A
Anonymous
3 years ago

Sikubaliani na utaratibu uliotolewa na conference ambao unalekeza ni jinsia gani wanayo ihitaji na wakati sio utarati wa kanuni elekezi, kuwa mjumbe awe ni wa jinsia gani? Kwa hiyo napinga utaratibu unaotaka kutumika, kulingana na kanuni haizungumzia aina ya jinsia

Y
Yusuph Nyakire
3 years ago

Kanuni ya kanisa haijafuatwa katika kuteuwa wawakilishi was kanisa kwenye uchaguzi was viongozi was jumbo.