Skip to main content

Uchaguzi Konferensi ya Kusini Mashariki Tanzania (SEC)

24 Comments

F
frank clement mchala
3 years ago

naunga mkono kanuni ya kanisa ifuatwe kama inavyoeleza kwenye sura ya Uchaguzi

S
Safiel
3 years ago

Katiba yao SEC haisemi wajumbe wachaguliwe kwa uwiano wa jinsia waka ammend kwanza alafu ndio ifae kwa matumizi ya mkutano mwingine sio huu

D
David Yasson
3 years ago Featured

Haikubaliki kutoa matangazo ya mkutano mkuu yakiwa na maelekezo ya kuchagua wajumbe kwa sifa za jinsia na Umri Mwongozo wa kanisa hauna hayo maelekezo, (rejea Sura ya 9: Uchaguzi – Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Konferensi: Kuchagua Wajumbe, Uk 125) – “Mpango wa Mungu ni kwamba wachaguliwe wajumbe waaminifu waliojaribiwa na kuthibitishwa, “wanaoweza kuangalia jambo toka chanzo hadi athari zake,” kwani inawapasa kuweka mipango itakayofuatwa katika kuendeleza kazi.” hii ni ishara ya kampeni na kutia unajisi mkutano mkuu wa konferensi.

G
Goodluck Swai
3 years ago

Hii sio sawa kabisa