Skip to main content

Sema HAPANA kwa mapendekezo ya mabadiliko ya udahili katika kada ya Uuguzi.

25 Comments

A
Anonymous
7 years ago

Nursing shida siyo uhaba wa wauguzi shida ni uhaba wa ajira. Na watahiniwa wengi wapo mtaani pasi na ajira.

T
Tumaini Soine Mollel
7 years ago

Hapana

N
Neema Yasin
7 years ago Featured

Shortage na kukosa udahili wa vyuo vya private haitoshi kuwa sababu ya kushusha vigezo, nursing haiangalii practice peke yake ambayo hata medical attendant anaweza kufanya, it is about knowledge, critical thinking and decision making ili unaporud kwenye practice lazima tutoe rationale. So for failures nahisi the best way to help them through is to give them second chance to resit the o'level exam and get what is needed to be admitted for the course. Asiyekubali kurudi shule Basi ujue haipendi nursing alikuja tuu kwa sababu kafeli na huko private anajua atapitapita tuu halafu ataelewa akifika kazini Sasa tujiulize mpaka akija kuelewa atakua keshaumiza wangapi, we have a lot of these people's at work! Vzur tungeanza na hawa.

R
Renfrida Kalinga
7 years ago

I strong disagree the situation of changing the criteria for registering diploma and certificate of Nursing

A
Anonymous
7 years ago

What is going to happen here is like making nursing as somewhere people can go when they have no where else, which will make nursing a disrespectfull professional! Please let we stand for our proffesional!

A
Amina Said
7 years ago

Napinga mapendekezo

M
moses mwakisambwe
7 years ago

we need intergrated nurse for holistic nursing care

A
Anonymous
7 years ago

No

L
Leonard sirilo
7 years ago

Haya mabadiliko hayakubaliki hata kidogo

A
Anonymous
7 years ago

Hatutaki kurudi tulikotoka maana DDD ya mwaka waliyoiishi miaka ya 70 haiwezi fanana na DDD ya mwaka 2019. Pili: Tunaihati kuwa na field ambayo mtu ataitamani kuiishi na kuisomea ili aitendee haki na si field ya kila alieshindwa kukizi vigezo anaingia, zaidi hatutaki kuwa na rubber bend field ambayo inaweza kubadilishwa muda wowote kwa kufata matakwa ya watu wenye vyuo binafsi ili wakizi mahitaji yao ya kibiashara na wala siyo kwa ajiri ya kuboresha

I
Irene moshi
7 years ago Featured

Kupunguza viwango vya udahili sio suluhisho la ukosefu wa wanafunz vyuoni. Vyuo binafsi viangalie ada wanazopanga wananchi wa hali ya chini wanashindwa kumudu gharama za Masomo. Kushusha grade ni sawa na kuidhalilisha taaluma na sidhan kama watakua wapo radhi kwenda kusomea taaluma inayodharaulika

P
Prosper protas
7 years ago

HAPANA

D
Diana Mung'ong'o
7 years ago

Wauguzi wapo ila hawaajiliwi.wasipunguze kabisa alama za udahili itaishusha uuguzi kwa kiwango kikubwa sana

H
Happiness Patrick mtei
7 years ago

Hapana kabisa

M
Magdalena Mande
7 years ago

Napingana na Hilo swala LA kurudisha uuguzi nyuma badala ya kusonga mbele

L
lucy
7 years ago

HAPANA

A
Anonymous
7 years ago Featured

Mimi siungi mkono ushusjwaji wa vigezo vya kujiunga na taaluma hii ya uuguzi, kwanza kabisa kwasababu najua na ninaifanyia kazi hii taaluma na ninaona ni jinsi gani inahitaji watu makini na wenye ujuzi na elimu ya kutosha. Lakini pia tusirudi nyuma pale ambapo ilionekana ni taaluma ya watu waliofeli kujiunga na taaluma zingine. Hii ni sehemu srnsitive inahitaji maboresho mengi lakini sio ya kupunguza vigezo bali kufanya tafiti na kufahamu kua kama kuna uhaba wa wafanyakazi na wanafunzi unatokana na nini?

A
Abdallah yusuph
7 years ago

Napinga kabisa kushushwa kwa alama za udahili kwa fani ya uuguzi. Tutaiangamiza fani hii. Ahsante RN

H
Hilitruda massao
7 years ago

We are dealing with people life, and society have negative attitude against nurses so pls "criteria should remain as it is no need of changing "those how didn't pass science subject let them Fight and get good pass make.

S
Somoe Khalfan mohammed
7 years ago

I kindly Support this, we don't have to go back it's time to Embrace our Nursing profession.