Uchaguzi Konferensi ya Kusini Mashariki Tanzania (SEC)
24
people have signed this petition. Add your name now!
24
people have signed. Add your voice!
12%
Maxine K. signed
just now
Adam B. signed
just now
Uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Konferensi ya Kusini Mashariki mwa Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu tar 09-11/11/2022. Ili kufanyika mkutano, kunahitajika uwakilishi wa wajumbe toka katika makanisa mbalimbali. Katika barua toka konferensi kwenda makanisani kwa ajili ya kutoa wajumbe, iliyapangia makanisa kutoa uwakilishi wa mjumbe mmoja na kuyapangia ni jinsia ya namna gani inahitajika, kinyume kabisa na katiba yake (SEC) na mwongozo wa kanisa toleo 19 Kiswahili sahihisho la 2015, ukurasa wa 125. Hivyo basi, kama mmoja wa mshiriki wa SEC tunaomba uorodheshe jina lako ili tulijumuishe kwenye barua itakayowasilishwa SEC na kwa msajili ili katiba na taratibu ya kanisa ya uchaguzi izingatiwe
Comment