Skip to main content

BUNGE LIVE NOW

25 Comments

A
Ahadi
10 years ago

Tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari kuzuia Bunge kurushwa live ni ukandamizaji

A
alex mwibaya
10 years ago

Ningependa sana kujua wa wakilishi wetu wanafanya nini, Je? kazi tuliyo watu wanatekeleza? nini mustakabali wa serikali kwa miaka 5 ijayo?

D
Daniel Kindimba
10 years ago

#bunge_live

A
Amos Obeid Mashairi
10 years ago

Tunataka kuona live na tujuwe ni wapi nchi inaharibika kwa makusudi ya baadhi ua viongozi

W
Wissman best
10 years ago

#bunge_live

E
Emmanuel Kileo
10 years ago

Habari hasa za kitaifa ni haki ya msingi ya mwananchi...

A
Allan Mganga
10 years ago

Bunge Live now

J
Joshua Nyari
10 years ago

Bunge liwe live kwaajili ya wananchi wote ili kupata habari za moja kwa moja na matukio muhimu ndani ya bunge.

A
Anonymous
10 years ago

Bunge live

E
Elimensa Masamu
10 years ago Featured

Ikiwa wananchi hatuwezi kufuatilia mchakato wa bajeti ya taifa, serikali itawezaje kutushirikisha katika utekelezaje wake? Huu ni mwanzo wa serikali kususiwa na wananchi katika mipango yake.

G
Gasper mkomba
10 years ago

Nataka Matangazo ya Live Ya Bunge na waandishi wasiwekewe vikwazo Bungeni.

R
Remigius Maembe
10 years ago

Bunge live

R
Ronald Mushi
10 years ago Featured

Ni haki ya kila Mtanzania kuonyeshwa Shughuli za bunge live ili kujua ni jinsi gani viongozi aliowachagua wanafanya kazi na jinsi gani kodi yake inatumika katika kuleta maendeleo.

K
kitulila Lugambwa
10 years ago

Bunge liwe laivu

S
Samuel Stephen Matara
10 years ago

Bunge live tunakosa haki ya kupata habari

H
halonewstza blogspot
10 years ago

Tunataka kuona Bunge live na ili siyo ombi bali tunaiagiza serikali kwa mujibu wa katika inayosema wazi wananchi ndiyo msingi wa kuunda dola, tukiwa kama waajiri wakuu wa serikali tunaiagiza kuonesha bunge live kwa matakwa yetu na wasifanye kwa matakwa yao.

T
Thabit Molly
10 years ago Featured

Serikali imetoa kisingizio kwamba gharama za matangazo hayo ni Shilingi za Tanzania Bilioni 4 kwa mwaka, lakini imekataa kupokea michango ya gharama hizo kutoka kwa wananchi, bila kutoa sababu za kuridhisha, hata pale ambapo baadhi ya vyombo vya habari nchini vilipojitolea kubeba gharama hizo moja kwa moja na kutangaza matangazo hayo huu ni ukandamizaji wa haki za raia kwa mujibu wa katika usiopaswa kumbiwa macho.

H
Humphrey David
10 years ago

Tunahitaji kuona na kutoa maoni katika mijadala mbalimbali kwa maslahi makubwa ya nchi yetu

A
Anonymous
10 years ago

Bunge liwe live

A
Anonymous
10 years ago

Comments Lionyeshwe watu tuone wawakilishi wetu wanafanya nini