MAFISADI AND THEIR MOTHER CCM MUST GO

Watanzania wenzangu,nimetengeneza petition hii ili kuunga mkono vita dhidi ya ufisadi inayoendelea Tanzania.Kama unaunga mkono,naomba usign kwa kutoa maoni yako ili kuendeleza vita hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA

Discussion

No comments yet.

join the discussion

Recent signatures

 • username

  Benson Tuaka, United Kingdom

  6 years ago Comments: Napinga ufisadi kwa nguvu zote maana unaendeleza umasikin wa watanzania wengi. hutuwezi Tanzania kuendelea kuwa level moja na Burundi au malawi nchi ambazo hazina kitu. Ni aibu kubwa.
 • username

  George Stephen, Tanzania, United Republic of

  6 years ago Comments: just for the betterment of our country, we need a break
 • username

  Kaiba Wambandwa, Tanzania, United Republic of

  6 years ago Comments: Mafisadi kama ulivyo uozo wowote ktk jamii wanapaswa kutokomezwa kwa nguvu zote. Wakamatwe na mali zao wanyanganywe na kifungo maisha jela kama sio kuuawa. Inakuwaje mtu mmoja anamiliki mali zenye thamani ya kununulia vifaa vya shule
See more

Petition highlights

There are no highlights yet.