Signatures 3630 total
-
1
Name: Anonymous on May 30, 2007Comments: hatukubali, kuonewa no more!Flag
-
2
Name: Anonymous on May 30, 2007Comments: Mpka kielewekeFlag
-
3
Name: Anonymous on May 30, 2007Comments: Hatutaki. Hell No. Wizi huu ni wa kijinga, pelekeni bongo na sio ulaya. Teseni wajinga bongo lakini sio ulaya. Kama mnang'ang'aniza, tutatumia sheria, ubabe na nguvu kuteketeza hiyo biashara. Tutabeba mabango, hadi balozi ataondoka hapa. Hatutaki mchezo. Wajinga wakubwa, fools, fisi, tamaa nyingi, mnatia kichefuchefu.Flag
-
4
Name: Anonymous on May 31, 2007Comments: Ukweli ni kuwa huyo ABUU naye anakula na yumo kwenye dili na akina CHANDE sasa huuu ni wizi na hatukubali.......Flag
-
5
Name: Anonymous on May 31, 2007Comments: hILI SUALA INABIDI LIANGALIWE UPYAFlag
-
6
Name: Yona Maro on May 31, 2007Comments:Flag
-
7
Name: Kitila Mkumbo on May 31, 2007Comments: Tafadhali mpango huu usimamishwe mara moja. Hauna manufaa kwa nchi yetu na wala watanzania waishio Uingereza.Flag
-
8
Name: Chief on Jun 1, 2007Comments: PAmoja na kwamba siishi Uingereza, nami napinga kwa nguvu zote aina hii ya Mkataba kwa WTM US. Hii ndio kupeana kula tu, kama mkataba wa kutengeneza Number Plates hapa BongoFlag
-
9
Name: Anonymous on Jun 1, 2007Comments: Mipango ilikuwa mizuri lakini,Makosa yamefanyika undugu Ubongo mansahau kwetu kuleFlag
-
10
Name: Frank Mugogo on Jun 1, 2007Comments: Nawashukuru Watanzania waishio Uingereza kwa kutetea haki za Watanzania wote.Tunawapongeza kwa kuona makosa mapema na kusimamia haki kwa dhatiFlag
-
11
Name: SAIDI YAKUBU on Jun 1, 2007Comments: Tunapinga kwa nguvu zote mkataba huu ambao hakika hausaidii lolote. Vigezo vya kuipa kampuni hii mkataba havieleweki, ni kampuni changa isiyo na hadhi ya mkataba mzito kama huu. Kuna walakini katika hili, tunaomba wahusika serikali kuu waufute na kuweka taratibu zinazoeleweka.Flag
-
12
Name: DRWHO on Jun 1, 2007Comments: Napinga hili suala na hata kama wakifanya kila gari 50p nitaendelea kulipinga kwani hilo ni jasho langu na sikubaliani na jinsi wanavyotaka pesa yangu bure bure tuu Vile vile naamini UBALOZI WETU LONDON haukubaliani na hiliFlag
-
13
Name: Anonymous on Jun 1, 2007Comments: Napinga hili suala na hata kama wakifanya kila gari 50p nitaendelea kulipinga kwani hilo ni jasho langu na sikubaliani na jinsi wanavyotaka pesa yangu bure bure tuu Vile vile naamini UBALOZI WETU LONDON haukubaliani na hiliFlag
-
14
Name: Alex Michael on Jun 1, 2007Comments: i agree this thing is dodgyFlag
-
15
Name: Anonymous on Jun 1, 2007Comments: no kwa WTM kwani hawana msingi wala utaalamu wowote na hata hivyo sheria ilitakiwa kutoka bungeni. beside that wote tunajua MOT ya UK ni ya kweli na ni computerised na hamna anayeweze kuibia kwani UK gov. haina mchezo. halafu hao wanachargeFlag
-
16
Name: Jimmy Baker on Jun 1, 2007Comments: Zoezi zima ni ovyo kabisa, kuanzia taratibu, utoaji wa tenda, kuhabarishwa jamii, nk, nadhani tuna vyombo vya sheria kama bunge ambavyo lazima vikae kutoa maamuzi kama haya na wananchi wpewe habari katika muda tosha kabla ya zoezi kuanza, Mh, Rais tafadhali ingilia kati hili jambo lishawekwa uani na malalamiko na vilio unavisikia, kama ni kupigana na rushwa na kurudisha imani kwa wananchi zoezi zima lifanyiwe marekebisho kwa mujibu wa sheria za nchi na iwe kwa magari yote yaingiayo Tanzania sio sheria moja kwa UK nyengine kwa Japan, USA nk. Mungu ibariki Tanzania.Flag
-
17
Name: Mkereketwa, Mpenda HAKI on Jun 1, 2007Comments: Seriously, NO LOGIC @ all...Lets STRIKE.Flag
-
18
Name: Mtatifikolo on Jun 2, 2007Comments: Huu ni wizi wa mchana tena ni ujambazi. Huyu bwana mdogo anayejiita Abu Faraja kama kazi imemshinda hapa UK basi arudi Tanzania. Kila mtu anatafuta riziki na wala si vyema mtu kuiba riziki ya mtu, ni vyema kutafuta kazi halali. Siko tayari hata kwa risasi kulipa paund 100 zangu kwa wapumbavu na wezi hawa. Magari hapa yanakaguliwa kwa kiwango cha hali ya juu sana kulinganisha na sehemu nyingine yoyote duniani. Leo iweje tena tukawalipe watu pesa ambayo tunaitafuta kwa shida hapa UK. Hivi kweli Serikali yetu ndiyo imetoa kauli hii ama ni kikundi cha wahuni kupitia kwa bwana mdogio Abu kinataka kutukamua jasho letu. Niko tayari kwenda Dodoma wakati wa kikao cha bunge na kuonana na waziri anayehusika na hili jambo na hata ikibidi kumwona Raisi basi nitafanya hivyo. Nina amini kabisa hii si amri ya serikali kwani Serikali yetu iko tayari kutusaidia kuwekeza nyumbani na wala si vingenevyo.Flag
-
19
Name: MWATUMU SAID on Jun 2, 2007Comments:Flag
-
20
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Zabuni yoyote itayo tolewa lazima itangazwe nawatu washindane. Tumechoka na ubabaishaji lazima body iliyotoa zabuni wawajibishwe. Watanzania hii si issue yakuichukulia kiuatani ni serious lazia tuivalie nuga JackFlag
-
21
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: hili dili ni noma tunataka haki itendeke hatukubaliFlag
-
22
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: hatukubaliani na huu mpango wa kibepari.nendeni mkaanzishe mashamba kama mnataka kuwa wawekezaji, siyo kuiba fedha tunayotafuta kwa jasho.Flag
-
23
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: hatukubali, serikali iingilie kati, tunaotaka kuwekeza nyumbani tunateseka na kukatishwa tamaa namna hii.Flag
-
24
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Mimi ni mfanyakazi wa TBS, huu mkataba ulipitishwa wakati mama wa mkandarasi, Wilson Mutabazi akiwa bado hai na alikuwa ni Naibu Mkurugenzi wa TBS. Huu mkataba ulitolewa kikabila na kidugu, mkuu alieidhinisha mkataba huu Mr Kataba [Chief Certification Officer] alihusika kabisa na ni mhaya. Watanzania mlioko Uingereza tunawaunga mkono huu mkataba unafanya kampuni yetu ijulikane vibaya na inatoa picha mbaya kwetu sisi wafanyakazi. Uhaya umezidi hapa TBS...Flag
-
25
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Hatukubali ng'o, enedelezeni kampeni, sisi ni wazanzibari tunaathirika zaidi kwani sisi ndio wasafirishaji mizigo wakuu. Tunaonewa na TBS!Flag
-
26
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Hapa tanzania mikataba hii ipo mingi sana, kulikuwa na ule wa spidi gavana, ukaja ule wa namba plates lakini huu sasa sio wakati wa kusema chini chini, mlioko Uingereza unganikeni...pingeni hiliFlag
-
27
Name: Eric Winston on Jun 2, 2007Comments: MOT in this country is much better than TBS standards. In many ways technology, price wise and many more.Flag
-
28
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: mwenyekiti faraj anatetea maslahi ya watanzania au ndio maslahi yake binafsi kwanzaFlag
-
29
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: mwenyekiti faraj anatetea maslahi ya watanzania au ndio maslahi yake binafsi kwanzaFlag
-
30
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: suala hili kina faraji wamelichukulia kimchezo lakini linaweza likavunja jumuiya asipokua makiniFlag
-
31
Name: Mnyampaa on Jun 2, 2007Comments: Huu ni wizi wa kimachomacho. Kwanza hakuna tenda iliyotolewa ili kupata kampuni husika, pili inadaiwa kuwa gharama zake ni kama 3 times zile za MOT. Tatu, kampuni haijaonyesha ni vipi itaweza kuhudumia watanzania wote kutoka kwenye vitongoji mbalimbali vya UK. Kwanini TBS wasishirikiane na MOT kupata vyeti vya ubora kama wanavyofanya na JAAI ya JapaniFlag
-
32
Name: SteveD on Jun 2, 2007Comments: MOT ya UK inatosha.Flag
-
33
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Lazima serikali iwajibike.Flag
-
34
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Lazima serikali iwajibike.Flag
-
35
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Huu ni wizi wa wazi waziFlag
-
36
Name: A A on Jun 2, 2007Comments: Hatukubaliani na urasimi wa serikali. Liko wapi fagio la Chuma!Flag
-
37
Name: MR KAZUNGU on Jun 2, 2007Comments: Sasa hawa jamaa wanaojiita "WTM" wamefungua matawi belgium france german italy spain JapanKwa nini watanzania wanaoishi uingereza peke yake Na kama mtanzania anayeishi tanzania anataka kununua gari kupitia kwenye internet uingereza itabidi afunge safari kwenda uingerezaFlag
-
38
Name: Anonymous on Jun 2, 2007Comments: Maoni yangu ni kuwa hili swala kwa ujumla si sahihi na ningependa tu kumshahuri huyo bwana mmiliki wa kampuni hiyo ya kihuni kama si ya kitapeli ajalibu kufikiria dili ingine , hii mzee wangu hufiki popote tunaomba husituchezee mjomba hela ngumu!Flag
-
39
Name: Isaac Mgwasa on Jun 2, 2007Comments: This is just insane. What made this hypocrites start this silly business that everyone opposesFlag
-
40
Name: Aziz Senzia on Jun 2, 2007Comments: I don't think I need to pay twice a MOT! This test, to me just like many fellow Tanzanians here, is just dublication of MOT, so I can't afford to re-do it. I say NO! A big NO.Flag
-
41
Name: Mole on Jun 2, 2007Comments: Hii tunasema ni dunia ya ukweli na uwazi hivyo ndio maana kukawa na mifumo ya kutangaza tenda na kuweka matangazo kwa siku kadhaa ktk magazeti ya serikali, sasa hili DILI ni la watu wachache tu serikarini na hawa jamaa zetu wenye njaa kama sisi, kama wao watu wa kuona mbali mbona kuna dili kibao tu za kuwatia hawa wazungu mchanga wa macho mpaka waje kutubana sisi walalahoi au kwa sababu bongo hakuna SHERIA basi kwa ufupi tutakomaa nao kwani haka ka-inchi kamatufunza mengi na huu ni mwanzo wa kupambana na maovu yenu. WATUAMBIE KIPI KIPYA KATIKA HIYO TEST YAO, AU TBS WANA UBORA SANA KULIKO MOT'S TUNAZOFANYIWA HAPA, WE'RE NOT STUPID!!!!Flag
-
42
Name: Anrtrader on Jun 2, 2007Comments: napinga suala hiliFlag
-
43
Name: Justin Magila on Jun 3, 2007Comments: Stop it!Flag
-
44
Name: Sophia Joan Michelle Odeke on Jun 3, 2007Comments: Hivi Bongo kuna chombo chenye kiwango na gharama kinachoweza kupita MOT! Hivi haya mambo ya kujisingizia Tanzania ni nchi changa kila siku yatakwisha kweli miaka mingapi ya uhuru bado tunavaa nepi Na serikali inaamini watu wote hata tuliyo nje ya nchi hatuna exposure Lini hii tabia ya kutafuta pesa za wazelando kwa matumizi ya wezi wachache serikalini itakwisha Huyo aliyekula rushwa ya kuhalalisha WTM ni bora airudishe kwa manufaa ya Watanzania wote sio tumbo lake tu.. This is outrageous and dispicable!!Flag
-
45
Name: Bfb on Jun 3, 2007Comments: wizi mtupu kama kawaida na govt ya kikwete ya kishkajiFlag
-
46
Name: Abduli Chama, Leicester on Jun 3, 2007Comments: Jamani tuamke huu ni wizi wa mchana!Flag
-
47
Name: Kimweri Mzale,canada on Jun 3, 2007Comments: Hii kali du! wakifanikiwa hawa sina hamu tena na tanzaniaFlag
-
48
Name: Abdul A on Jun 3, 2007Comments: Tunategemea hiki ndio kitakua chanzo cha kuwaamsha wa Tanzania ikiwa ndani na nje ya Nchi.Flag
-
49
Name: Anonymous on Jun 3, 2007Comments:Flag
-
50
Name: Nunu Chondoma on Jun 3, 2007Comments: Hatutaki utapeli. Huu ni wizi wa kitoto. Kama kweli wanataka MOT it should be from any GENUINE company. By the way MOT is onlyFlag