Powered by iPetitions - Start your online petition now

Signatures 123 total

Page: 1, 2, 3

  1. 101
    Name: Anonymous on Oct 8, 2007
    Name/Jina: elias mgasa
    Country/Nchi : US
    Taasisi yako/Institution: yale university
    Comments/Maoni:
    Flag
  2. 102
    Name: Anonymous on Oct 16, 2007
    Name/Jina: kileo
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: Mjasiriamali
    Comments/Maoni: Waziri wetu ameshindwa pamoja na kuwa Professor nadhani akafundishe tuu
    Flag
  3. 103
    Name: Anonymous on Oct 16, 2007
    Name/Jina: JOHNSON BROWN McEWAN
    Country/Nchi : DE
    Taasisi yako/Institution: Konstanz
    Comments/Maoni: yeah,indeed,he has to resign and go back to his village as he cannot lead a crucial ministry which touches the life of almost all young men in Tanzania. Go Professor Msolla,Go.
    Flag
  4. 104
    Name: Anonymous on Oct 17, 2007
    Name/Jina: Rose
    Country/Nchi : CA
    Taasisi yako/Institution: Quebec
    Comments/Maoni:
    Flag
  5. 105
    Name: Anonymous on Nov 9, 2007
    Name/Jina: Kayombo
    Country/Nchi : BW
    Taasisi yako/Institution: BLM
    Comments/Maoni: Huyu Bwana ameshindwa kazi kabisa naomba atusaidie vyuo vyetu vya juu
    Flag
  6. 106
    Name: Anonymous on Nov 9, 2007
    Name/Jina: Gideon Mchau
    Country/Nchi : DK
    Taasisi yako/Institution: Copenhagen University
    Comments/Maoni: Huyu bwana, kwanza kadfanganya UMMA pamoja na RAIS kwa kusema mwaka huu hela za wanafunzi hazijachelewa kitu ambacho kiliongelewa saaaana na kuna watu wanakusany info sasa kuweka wazi kuonesha waziri kasema uongo. Hivyo AJIUZULU
    Flag
  7. 107
    Name: Anonymous on Nov 10, 2007
    Name/Jina: LOLITA
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: international banking
    Comments/Maoni:
    Flag
  8. 108
    Name: Anonymous on Nov 10, 2007
    Name/Jina: sam
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: taasisi ya elimu tanzania
    Comments/Maoni: kwa ufupi ni kuwa BODI YA MIKOPO IVUNJWE,imekuwa ikiwasumbua wanafunzi sana mpaka inafikia maofisa mikopo wanatembea na wanafunzi ili wapate mikopo,hata mitaani hawa jamaa pamoja na wahasibu,kinachouma ni kwa nini wanafunzi wanyanyaswe wakati nihaki yao kupata hiyo mikopona watairudishahawa jamaa wanaela sio mchezo yaani mtaani hakukaliki!na mishara ya serikali tunaijua! MSOLLA BADO HUJASTAAFU TUUUUUUUU
    Flag
  9. 109
    Name: Anonymous on Nov 12, 2007
    Name/Jina: Erick K
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: Rafiki Info-Tech
    Comments/Maoni: Ajiuzulu haraka sana
    Flag
  10. 110
    Name: Anonymous on Nov 14, 2007
    Name/Jina: kiki
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: mfanyabiashara
    Comments/Maoni: Atoke, hafai!
    Flag
  11. 111
    Name: Anonymous on Nov 16, 2007
    Name/Jina: judith charles
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: Aga Khan
    Comments/Maoni: He is the worst minister i have ever seen. go msolla
    Flag
  12. 112
    Name: Anonymous on Nov 17, 2007
    Name/Jina: positive thinker
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: private
    Comments/Maoni: hafai
    Flag
  13. 113
    Name: Anonymous on Nov 19, 2007
    Name/Jina: mfamaji
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: private
    Comments/Maoni: Aondoke
    Flag
  14. 114
    Name: Anonymous on Nov 22, 2007
    Name/Jina: Mbaruku
    Country/Nchi : JP
    Taasisi yako/Institution: KUJITEGEMEA
    Comments/Maoni: AJIUZURU HUYO
    Flag
  15. 115
    Name: Anonymous on Nov 26, 2007
    Name/Jina: Mutani M. Mbassa
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: UNICTR
    Comments/Maoni: Mi nadhani anazidi kuchelewa, angefanya hivyo tangu lile sakata la Ukraine. Lakini nadhani pia yeye mwenyewe ameshaliona hilo ni wakati tu wa yeye kufanya maamuzi ya Kizalendo. Awaachie watanzania wengine wenye uwezo walitumikie taifa lao na kuleta mageuzi katika sekta hiyo. Kama anasuasua kufanya uamuzi ni wajibu wa Mh. rais kumsaidia kufanya maamuzi kwa manufaa ya Taifa.
    Flag
  16. 116
    Name: Anonymous on Nov 30, 2007
    Name/Jina: francesca Francis
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: self employed
    Comments/Maoni: ameshindwa kazi na anakiuka sheria za utoaji mikopo kwa kuweka taratibu zisizokuwepo kisheria....
    Flag
  17. 117
    Name: Anonymous on Dec 6, 2007
    Name/Jina: Mlala hoi 'msomi'
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: Private
    Comments/Maoni: Prof. Msola leave please, Kwani ni lazima ulazimisha kazi ambayo imekushinda, mbona kuna kazi nyingi unaweza jaribu, kazi ya menejimenti inahitajitaji utashi na common sense ya mtu, haijalishi uprofessor ila mtu mwenye digrii moja anaweza ongoza vizuri kuliko wewe, leave Msola leave
    Flag
  18. 118
    Name: Anonymous on Feb 11, 2008
    Name/Jina: Prudence Ching'ole
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: UDOM
    Comments/Maoni:
    Flag
  19. 119
    Name: Anonymous on May 18, 2008
    Name/Jina: erik
    Country/Nchi : TZ
    Taasisi yako/Institution: private
    Comments/Maoni: je msolla ana akili kweli
    Flag
  20. 120
    Name: Anonymous on Dec 8, 2008
    Name/Jina: J.J.PIKADILI
    Country/Nchi : GB
    Taasisi yako/Institution: LONDON SCHOOL OF ECONOMICS
    Comments/Maoni: Hivi ni lini waafrika tutapunguza uvivu wa kufikiri
    Flag
  21. 121
    Name: Anonymous on Jan 9, 2009
    Name/Jina: Jean Chris
    Country/Nchi : DE
    Taasisi yako/Institution: ddd
    Comments/Maoni: HAllo
    Flag
  22. 122
    Name: Anonymous on Jun 30, 2009
    Name/Jina: mimi
    Country/Nchi : CN
    Taasisi yako/Institution: haikuhusu
    Comments/Maoni: Msola hafai hata chembe moja, Tafadhali aondolewe,migomo isiyo na suluhisho chuo kikuuu inatosha,toa hii kitu madarakani
    Flag
  23. 123
    Name: Bqerybgmk on Mar 13, 2012
    Name/Jina: zumcwt@jogsxo.com
    Country/Nchi : Mauritius
    Taasisi yako/Institution: zumcwt@jogsxo.com
    Comments/Maoni: 1QRdox byppmzvlycem, cwydlcparijd, lujefsalspan, http://oucqqcfntmsi.com/
    Flag

Page: 1, 2, 3

Sponsored links