| # | Name/Jina | Country/Nchi | Taasisi yako/Institution | Comments/Maoni |
|---|
| 101 | JOHNSON BROWN McEWAN | DE | Konstanz | yeah,indeed,he has to resign and go back to his village as he cannot lead a crucial ministry which touches the life of almost all young men in Tanzania.
Go Professor Msolla,Go. |
| 102 | Rose | CA | Quebec | |
| 103 | Anonymous | BW | BLM | Huyu Bwana ameshindwa kazi kabisa naomba atusaidie vyuo vyetu vya juu |
| 104 | Gideon Mchau | DK | Copenhagen University | Huyu bwana, kwanza kadfanganya UMMA pamoja na RAIS kwa kusema mwaka huu hela za wanafunzi hazijachelewa kitu ambacho kiliongelewa saaaana na kuna watu wanakusany info sasa kuweka wazi kuonesha waziri kasema uongo. Hivyo AJIUZULU |
| 105 | Anonymous | TZ | international banking | |
| 106 | Anonymous | TZ | taasisi ya elimu tanzania | kwa ufupi ni kuwa BODI YA MIKOPO IVUNJWE,imekuwa ikiwasumbua wanafunzi sana mpaka inafikia maofisa mikopo wanatembea na wanafunzi ili wapate mikopo,hata mitaani hawa jamaa pamoja na wahasibu,kinachouma ni kwa nini wanafunzi wanyanyaswe wakati nihaki yao kupata hiyo mikopona watairudisha?hawa jamaa wanaela sio mchezo yaani mtaani hakukaliki!na mishara ya serikali tunaijua! MSOLLA BADO HUJASTAAFU TUUUUUUUU |
| 107 | Anonymous | TZ | Rafiki Info-Tech | Ajiuzulu haraka sana |
| 108 | Anonymous | TZ | mfanyabiashara | Atoke, hafai! |
| 109 | Anonymous | TZ | Aga Khan | He is the worst minister i have ever seen. go msolla |
| 110 | positive thinker | TZ | private | hafai |
| 111 | mfamaji | TZ | private | Aondoke |
| 112 | Anonymous | JP | KUJITEGEMEA | AJIUZURU HUYO |
| 113 | Anonymous | TZ | UNICTR | Mi nadhani anazidi kuchelewa, angefanya hivyo tangu lile sakata la Ukraine. Lakini nadhani pia yeye mwenyewe ameshaliona hilo ni wakati tu wa yeye kufanya maamuzi ya Kizalendo. Awaachie watanzania wengine wenye uwezo walitumikie taifa lao na kuleta mageuzi katika sekta hiyo.
Kama anasuasua kufanya uamuzi ni wajibu wa Mh. rais kumsaidia kufanya maamuzi kwa manufaa ya Taifa. |
| 114 | francesca Francis | TZ | self employed | ameshindwa kazi na anakiuka sheria za utoaji mikopo kwa kuweka taratibu zisizokuwepo kisheria.... |
| 115 | Mlala hoi 'msomi' | TZ | Private | Prof. Msola leave please,
Kwani ni lazima ulazimisha kazi ambayo imekushinda, mbona kuna kazi nyingi unaweza jaribu, kazi ya menejimenti inahitajitaji utashi na common sense ya mtu, haijalishi uprofessor ila mtu mwenye digrii moja anaweza ongoza vizuri kuliko wewe,
leave Msola leave |
| 116 | Anonymous | TZ | UDOM | |
| 117 | Anonymous | TZ | private | je msolla ana akili kweli? |
| 118 | J.J.PIKADILI | GB | LONDON SCHOOL OF ECONOMICS | Hivi ni lini waafrika tutapunguza uvivu wa kufikiri? |
| 119 | Jean Chris | DE | ddd | HAllo |
| 120 | mimi | CN | haikuhusu | Msola hafai hata chembe moja,
Tafadhali aondolewe,migomo isiyo na suluhisho chuo kikuuu inatosha,toa hii kitu madarakani |