| # | Name/Jina | Country/Nchi | Taasisi yako/Institution | Comments/Maoni |
|---|
| 51 | tonzy | DE | reseach in minerals | Mzee msolla ajiuzulu wadhifa huo haraka iwezekanavyo maana haiana maana ya kuwa na tanzania mpya bali ni chakavu tu mimi binafsi mzee aachie ngazi kikwete fanya kazi kama umeweza kuwatengua akina mngai na wengineo basi badilisha nae huyo asante |
| 52 | Rev. Fr. Constantine L. Silayo | US | Catholic Priest | Afya na Elimu ni muhimu mno kwa watoto wetu na Watanzania wote kwa ujumla. Swala hili la wanafunzi wetu huko Mlimani Dar na Ukraine limenikera sana sana!! Mzee Mwanakijiji, you have my support - morally, financially and otherwise! |
| 53 | edmund | CN | china medical | kutokana na ,mwenendo wa suala zima na jinsi serikali ilivyofumbia macho uwajibikaji wake,naunga mkono hii hoja. |
| 54 | John | TZ | MSAUD | Mr. Msolla Should resign.he does not re-act proactively. if one of the students was from High Class people, the issue was so simple...now bcz the sufferer are from poorest families...then..u know... |
| 55 | Mghuna | TZ | Private | Umefika wakati wa kujiuzulu mara moja |
| 56 | Japhari | RU | Binafsi | Heshima anayostahili pro.Msolla ni kujiuzulu asingoje kufukuzwa. |
| 57 | Anonymous | CN | Elimu | Huyo jamaa ni kwamba ameshindwa kazi kabisa na inabidi aachie ngazi mara moja ili mambo yasiweze kuwa mabaya zaidi ya hapo maana hakuna kinachofanyika cha maana katika wizara yake zaidi ya kukwamisha maendekleo ya nchi ki elimu. |
| 58 | YEGHO MWAMBA | US | BINAFSI | Nakubliana na hoja zilizomo kwenye barua hii kwa silimia mia kwa mia. |
| 59 | Anonymous | GB | N/A | Naunga mkono kutokana na matatizo yaliyo tokea hivi karibuni UDSM, ya kufukuza wanafunzi. |
| 60 | Anonymous | GB | Academic | He should resign, because as a leader is responsible for responding to peoples' queries not avoiding the responsibilities. He acted unethical like as leader. A leader should repond to queries regardless of what type of query is, he is not a leader is a ruler, we don't need rulers in our country. |
| 61 | rayu shiph | TZ | pride tz | huyu jamaa hafai kwanza amewageuka hata wanazuoni wenzake waliokuwa bega kwa bega katika kupigania haki za wanazuoni, na akiendelea kuwepo elimu ya juu atabaki nayo mwenyewe, anabania vijana wasipate elim kama nyerere angembania angekuwa wapi yeye? kapanda juu ya mti alafu anaangusha ngazi ati waliochini wasimfikie , falsafa yake tumeigundua lazima ang'oke uyu, hatufai kabisa |
| 62 | Anonymous | TZ | LSBF | Hafai kuwa kiongozi kwa nchi inayo taka kujijenga kama Tz, ni mbinafsi na anafikiria maendeleo yake Binafsi, wakati kama Binadamu hatokuwepo maisha, so he should think about the future sio kufikiria leo tu. |
| 63 | Anonymous | TZ | college | democrasia ya kweli ni ukishindwa kutekeleza majukumu yako ya kazi ni bora kujiuzuri kuwapisha watu wengine waifanye kwa ufanisi mzuri |
| 64 | Mashinda Mtei | TZ | CHADEMA | Kiburi chake hakijaanza leo na kinajulikana. Sasa inashangaza mtu kama huyu anapewa nafasi ya uwaziri nyeti. Haya mambo ya kulindana na kuzawadiana vyeo yataliangamiza Taifa tukiendelea kunyamaza. Hili shinikizo lafaa liendelee kwa muda mrefu hata kama hatajiuzulu at least ujumbe ufike. |
| 65 | Kagemulo Francis | TZ | Raia | Aondoke, ameshindwa kazi. |
| 66 | Anonymous | CN | Huandog | ajiuzulu haraka hatufai, haiwezekani kuwaacha watanzania wanaaadhirika yeye hataki kuchukua hatua |
| 67 | SELUNGWI,Said.M. | TZ | UDSM/uclas | Nchi yenye viongozi na wapiganaji wa kweli ktk kuleta maendeleo,huwa haiongozwi kwa vitisho wala kauli zisizo za kujenga ktk jamii.kukubalika au kutokukubalika kwa mwanajamii miongoni mwa wanajamii ni kitu kisichostaajabisha.Hivyo kutokana ukweli ambao naamini umefanyiwa utafiti ktk makala hii,najitokeza miongoni mwa wengi waliotangulia(sina uhakika,lkn hata kama nitabaki peke yangu) kusema ya kwamba "Prof.Msolla jiuzulu"
Kwa kuongeza tu,Prof.Msolla na wizara yake kupitia bodi ya mikopo imetoa tangazo linalowataka wanafunzi elimu ya juu kujaza fomu za mikopo kwa ajili ya mwaka ujao wa masomo.Cha kushangaza ndani ya tangazo hilo mbali ya matatizo mengine,"kifungu cha 5.4" kinawataka wanafunzi wa mwaka wa kwanza(2006/2007) wa UDSM na SUA kujaza SLF1 na SLF2 kwa ajili ya kuchunguzwa upya ili kutatua tatizo la kujigharamia 40% ktk masomo kama MADAI yao yalivyosema ktk mgomo wa tarehe 16&17April.SWALI ni"Je,hawakufikilia kuwa hili si tatizo la UDSM na SUA bali ni la taifa zima?,Au ndiyo anathibitisha usemi wake alioutoa baada ya maandamano ya amani ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini February 2007 kupinga suala hilo hilo la 40%?-alisema,kuwaambia wanfunzi kuwa "msitumie kigezo cha umasikini wa wazazi wenu kupinga kulipa ,40% ipo palepale"(sina uhakika kama nimepatia maneno lakini alimaanisha hivyo),Au anasubiri hadi taasisi na vyuo vingine vigome ndipo atakapobuni kuweka kifungu "i.e;- 5.4(ii)" ktk tangazo la wakati huo? Au yawezekana tafiti zao zinaonyesha UDSM na SUA ndipo kwenye watoto wa masikini pekee!!Usishangae,hii inaonyesha wazi kuwa viongozi wetu wengi(wa kuchaguliwa) wanakuwa na UTANZANIA wakati kuomba KURA na kuukana utanzania huo pale wanapoanza KULA.Ninaamini USOMI si kigezo cha kuwa KIONGOZI BORA,bali kiongozi bora yawezekana akawa MSOMI.Nina mengi ila nimalizie tu kwa kusema,"SI HUYU TU WA KUJIUZULU,NA WENGINE WAFUATE".
SELUNGWI,Said.M.
0713056790 |
| 68 | Bulengela | DK | Roskilde University | Napenda kuanza kwa kusema wanasiasa ndio wanamamlaka makubwa kkt kukuza na kuendeleza nchi. Ni watu tunaowachagua ili waweze kutuwakilisha ktk kusimamia ugawanyaji sawa wa mali asili haba ( allocating of scarce resources) tulizopewa na mwenyezi Mungu.
Kama wanasiasa hawa tunaowachagua si welevu na waaminifu basi nchi itazidi kuwa maskini na tegemezi ktk nchi wahisani( wafadhili). Inasikitisha kumuona mheshimiwa waziri ambaye amekalia wizara ambayo ni muhimu nadhani kuliko wizara zingine anashindwa kusimamia majukumu yake kama inavyostahili. Ukweli ni kwamba maendeleo ni elimu bila elimu hakuna maendeleo.
Kwa hiyo basi sina budi kuungana na wananchi wenzangu kwa kusema "mheshimiwa waziri kwa heshima na taadhima tunaomba uwaachie wengine wajaribu, hii ni kwa ajili ya manufaa ya taifa la Tanzania na wananchi wake.
Pia kumbuka kuwa mtoto au watoto wanapokuwa ktk matatizo husaidiwa na kuweka kando makosa yao kwanza. Nadhani wewe ni mzazi unaelewa haya.Ungesaidia kwanza hawa watoto wanaoteseka kwa sasa huko Ukraine halafu mengine yatafatia
Ndugu watanzania huu ndio wakati wa kuwa na uchungu na nchi yetu. tusikubali kudharirishwa na watu wachache.
Inasikitisha kuona watu wengine wanahangaika kwa kusoma usiku kucha na wengine wananunua vyeti na serikali kuwa-support, jamani inauma kweli.
Mwisho, napenda kueleza masikitiko yangu kwa viongozi wetu kwa kutetea viongozi walio madarakani na waliostafu kwa maovu waliyoyafanya.Tanzania tutaendelea kuwa maskini wa mwisho duniani endapo kama tutaendelea na tabia hii |
| 69 | Anonymous | US | North Harris Collhe | ajiuzulu |
| 70 | Anonymous | TZ | Private | |
| 71 | mvumilivu | GB | Health | Kutangulia sio kufika, tumeamka tumechelewa lakini safari tutafika. tuhakikishe wanaondoka mmoja mmoja. |
| 72 | Mkiritimba | TZ | Private | Naunga mkono hoja. HESLB imejaa uozo na utapeli. Wakati mwanafunzi wengine wanatokea kwenye magazeti kuwa wamechaguliwa, ukifika kuripoti chuoni jina lako linakuwa halipo. Sometimes, watu wali-apply lakini hawaku-attend matriculation, wanaitwa kujiunga na chuo. Matriculation kama ni optional ijulikane. Sometimes hata nauli ya kwenda kufanya paper ni issue jamani! |
| 73 | Joseph | TZ | Private | Huyu hafai kwa mustakabali wa nchi yetui,ang'oke |
| 74 | Atek Oderf | TZ | UDSM | As a Tanzanian of Sudanise decent, i'm saddened by the government's abandonment of all Tanzanian students in institutes of higher learning and there seem to be a deliberate plan to sabotage progress in higher learning by the very people charged with promoting and improving higher learning. Not only should Prof Msola GO, but Tanzanians should wake up and realise that CCM is just a bunch of crooks who are neither patriotic nor do they have love for they country and people. CCM must GO! |
| 75 | Tido Mleki | US | UCLA | This guy should GO. HESLB na wizara yake zimeshindwa kuhudumia wanachi. |
| 76 | MWANSASU A. BARAKA | TZ | st.Augustin university Mwanza | MSOLA HAWEZI KAZI. AMESHINDWA HATA KUMSHAURI RAIS KUHUSU ELIMU YA JUU. |
| 77 | Eric Ongara | TZ | Tanzania Youth Vision Asscocition | Hana uwezo wa kudhibiti ufisadi kati wizara yake ambao umechangia kwa kiasi kikubwa kukosesha wana wa ardhi elimu.
Vile vile amekosa kabisa ubunifu katika kuongeza idadi wa wahitimu wa elimu ya juu. Hatufai na ni hatari kwa taifa. |
| 78 | emmanuel | TZ | tumaini university | Siamioni kama prof. msola ana kitu cha kipekee ambacho hakuna mtanzania anaweza kukifanya, wapo watu wengi wenye uwezo zaidi yako bwana msola. nakuomba kwa heshima yako ujiuzulu au mhe; kikwete umuweke kando. tumechoka na ubabaishaji wako |
| 79 | H Juma | TZ | UJAMAA | Pamoja sisi watanzania tutaendelea. Tutaongea na tutatoa maoni zetu.
http://conscious-revolution.blogspot.com |
| 80 | Anonymous | US | BU | This is a BIG shame for the so called HOLLY Tanzanian government and the whole country. I trully support this and I will never rest until this rotten figure ( and many more) are out of the picture. As Tanzanians we trully need to WAKE UP and call a THIEF a THIEF no matter what will be the cost!
We are really sick and tired of liars, hypocrite and corrupted figures all over the country....
Wakati uliokubalika ndio sasa! whether they like it or not! Keep up the good work..... |
| 81 | MAYALA | TZ | summy state university | ajiuzulu! |
| 82 | Anonymous | TZ | Mjasiliamali | Ni ukweli usiopingika,Mh.Msolla-Wizara imemshinda,atakuwa muungwana kama atajiuzulu. |
| 83 | Anonymous | TZ | rombo(mkulima) | jamaa ajiuzulu kwanza sayansi na teknolojia hamna tanzania sisi tunatumia teknolojia za wenzetu. muulize msolla kama kuna sayansi yule jamaa aliyekua amegundua radio na kufunga kituo cha redio mabibo fm yuko wapi?hata hamjui ila amepigwa marufuku wakati wenzetu wanamtunza mtu kama huyo!pili jamaa wawili wa mbeya na wa mombo waliotengeneza ndege wako wap?kwenye UMITASHUMTA NA UMISETE miaka ya tisini na nne huu wapo wanafunzi waliokua wametengeneza mashine ya kusaga mahindi na wengine bunduki sasahivi ni masikini wa kutupa kwa marekani, rwand, china nk hawa ni mabilionea na wanaipunguzia serikali adha ya kuagiza mitambo na mabo mengine kama hayo toka nje.Hata sindano tunaagiza nje while Engaruka ni sehemu za mwnzo na kihistoria kogundulika CUMA?au nilidanganywa kwenye historia darasa la nne jamani?Achilia mbali maswala ya ajira tunashindwa kuwashawiwishi wanetu wasome sayansi coz tunakatishwa tamaa kama serikali yenyewe magari inayapeleka kwenye gereji za kichina na kikorea itakua vipi mwanangu akapate tabu? |
| 84 | ibrahim kione | TZ | private | naunga mkono kwayote ambayo yameandkiwa |
| 85 | John M Shayo | TZ | Mzumbe Universty | Kuundwa kwa Bodi ya Mikopo kumeshindwa kutimiza malengo yake. Badala ya kwenda mbele 'Now we are going one step ahead while turning two steps backward' because of presence bad governance. Therefore, The Ministry of Science, Technology and Higher Learning have to take immediate measures towards the problems (FINANCIAL) facing many students in Tanzanian Universities. We as the Member of EAC, Why the Government follow what our fellows do?. It's better if Prof. Msolla fail to set strategies so as to overcome the students crises he better handle his responsibilities to other comitted Tanzanian. How do someone knows that you are the Prof. while you have approve failure in solving problems affiliated to your position? Swala la Elimu liendeshwe kwa uangalifu wa hali ya juu; kwani 'NCHI BILA WASOMI, NI SAWA NA ZIZI BILA NDAMA' Therefore they (Government Leaders) have to know that we are studying for the benefits of the whole Tanzanians as one family and not for oneself' benefits as many thinks. ARI, NGUVU NA KASI MPYA isije ikatafsiriwa na wasomi vinginevyo. |
| 86 | Anonymous | TZ | Civil Engineer | Prof Msolla,
Inakubidi ujiuzulu, utambue kuwa wizara hiyo uliyokabidhiwa imekushinda hata kama mkuu wako wa kazi hajakueleza ukweli huu unabakia ulivyo.
Mbona hamuwathamini raia waliowaweka hapo kwenye viti mlivyokalia?, hilo ni kosa tosha kwako kujiuzulu, ndio maana nguvu hii ya umma ina kuja juu yako na kukutaka ujiuzulu.
Hawa vijana wanaosota Ukraine si ni wana wa nchi hii?, au wanatokea sayari ya Pluto?
Kama ukikataa kujiuzulu utampa raisi Kikwete na chama chenu wakati mgumu wa kujibu maswali magumu unayomuandalia mwenyewe hivi sasa. Lione jambo hili sasa.
Ni utamaduni huu wa kuwajibishana ndio utakao tuwezesha kupiga hatua mbele kimaendeleo, wewe unaturudisha nyuma, hata kama unabisha huu ndio ukweli.
Achia ngazi mzee |
| 87 | Kamanda Mpambanaji | TZ | Mtaani DSM | Aondoke! Ameshindwa kupambanua usomi wake ndani ya serikali mbovu ya CCM. Hata ualimu asipewe maana atazichafua akili za vijana wetu ziwe kama zake na hivyo kuusaliti utume wao kama wasomi watarajiwa. Na aondoke kabla hata hajaondolewa.. Kikwete unafanya nini? Au na wewe ni mule mule? Nashawishika kuhoji umakini wako. |
| 88 | Anonymous | ET | UNHCR | I am very shocked that Msolla is still working...how did he handle tha Ukraine saga so far? Is the ministry of higher education alive? did they decide to close their eyes to those students and let them stranded in a foreign country without any direction? I am out of words my dear brothers & sisters!
Some serious steps should be done in this ministry, Mr President wake up!! You really have to wake up now...and act as a President and not a picture! Ok. |
| 89 | Mzuzu | TZ | EGPAF | Uwezo wake ni mdogo sana aachie wanaoweza |
| 90 | Anonymous | FI | Tampere University | Si hayo hapo juu tua, tangu huyu bwana achukue hii wizara mambo hayaendi na anaiendesha kibabe kama yake. Kwa nini lakini Kikwete anatuachia kiongozi ambaye hatumtaki na hana sera zenye manufaa kwa maendeleo ya elimu nchini? |
| 91 | Joe Mugasa | TZ | IHRDC | |
| 92 | Anonymous | TZ | udsm | |
| 93 | Anonymous | TZ | mzumbe university | he is to resign completely |
| 94 | Ibrahim Ernest | TZ | NGO | Tumechoshwa na ujinga huu; hao wanafunzi wamerudi na pesa walizokopeshwa awali zililipwa sasa kwa kukatishwa masomo ni kwa faida ya nani? |
| 95 | Anonymous | TZ | IFM | Kwa nchi ambayo inaamini mkukuta utafanikiwa bila kuwekeza ipasavyo na kuhakisha tunapata watu walio hitimu kweli kweli sio bora cheti. Huyu bwana si creative at all anachilinda ni ulaji. Nina amini kuwa yote yanayotekea ni mpango wa serikali kuhakikisha nchi haipati wasomi wakuichachafya ili waeendelee kuihujumu. Huyu bwana hafai SUA ilimshinda yumkini Wizara nyeti kama hii ataiweza vipi? |
| 96 | Rulimunzu Ntakiliho | TZ | Elimu | Ameshindwa kusimamia kabisa Elimu ya juu na kila mweak haijulikani ni nani atapewa mkopo. Kila mwaka ni wa wasiwasi kwa wanfunzi wa vyuo vikuu. |
| 97 | Anonymous | UG | kiu | mzee jiuzulu kwani unafanya elimu isiende mbele |
| 98 | salimin | TZ | kazi binafsi | Baada ya matatizo ya migomo ya wanachuo kumalizwa kwa kutumia nguvu, Prof. Msolla alitakiwa kujiuzulu bila shinikizo, ndio uungwana. Lakini pia sio Prof. M peke yake wapo kina Mh. S. Wasira na bei za korosho, watu tayari ni masikini na wamefanikiwa kulima kwa nguvu zao kusimamia makubaliano ya bei na wafanyabiashara ili mkulima afaidike na nguvu zake kunawashinda. Mh. N. Karamagi na migodi, Richmund, Buzwagi nk. Mh. Z. meghji na BoT. Mh. Kingunge na ushauri wa siasa zake za zamani zinazo shindwa kusoma nyakati, demokrasia inakuwa watanzania wa leo sio wa enzi za chama kushika hatamu, wanataka kuwekwa wazi zaidi. Kusema wanaotuhumu viongozi kwa rushwa na ubadhirifu waende mahakamani ni kujaribu kuficha maovu yanayotendeka kwa kuwa wananchi hatuna uwezo na muda wa kuendesha kesi za namna hiyo, angewashauri viongozi waende mahakamani kwa kusingiziwa uongo. Ukianza kuchambua wanaostahili kujiuzulu ni wengi. |
| 99 | Anonymous | US | yale university | |
| 100 | kileo | TZ | Mjasiriamali | Waziri wetu ameshindwa pamoja na kuwa Professor nadhani akafundishe tuu |