| # | Name/Jina | Country/Nchi | Taasisi yako/Institution | Comments/Maoni |
|---|
| 1 | Mwanakijiji | Nawakaribisha kutia sahihi ombi hili ili hatimaye lifikishwe kwenye vyombo vya habari vya Tanzania. |
| 2 | Anonymous | Its time ni aibu kwa Tanzania. |
| 3 | Anonymous | Msola ajiuzulu kwani ni dhahiri kazi imemshinda |
| 4 | Anonymous | Lazima ajiuzulu kwa kiburi chake. |
| 5 | salim zayumba | |
| 6 | Anonymous | mie naona wengi tuu wajiuzulu |
| 7 | kipanga | Yeah we need him to resign |
| 8 | Ben | THis is very cruel and shamefully for democratic government.Amnesty International,human rights watch,plz take our hand! |
| 9 | Sembe, UK | kwa heshima ya Tanzania ajiuzulu mara moja. |
| 10 | Sweet Bailey | Pamoja na Mh.Rais pia aachie ngazi kwani na yeye analielewa hili swala lakini hajachukua hatua zozote na huenda yeye ndiyo kikwazo hata kwa waziri. |
| 11 | Yona Maro | Huyu jamaa ajiuzuru na hana sababu yoyote ya kuendelea kukaa madarakani na basi kama akiendelea asusiwe sehemu zote anazotembelea kuanzia vyombo vya habari mpaka washikadau njiani |
| 12 | Mtu mwitu | jiuzulu haraka kabla wakati haujakulazimisha zaidi kuondoka ukiwa na soni |
| 13 | D | Naunga mkono Msolla ajiuzulu, kashindwa kutetea ubinaadamu wa Watanzania wenzetu. |
| 14 | amina | Mie napenda huyu jamaa anaejiita msola ajiuzulu,pia hata kikwete hajiuzulu nothing anafanya ktk uongozi wake,bola mkapa kuliko hawajama wanatumia pesa nyingi sana ktk safari zao za nje |
| 15 | regina kundy | Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka . |
| 16 | Anonymous | Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka . |
| 17 | regina kundy | Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka . |
| 18 | Anonymous | |
| 19 | Anonymous | Sio suala la hiari..Msolla ajiuzulu kunusuru heshima ya watanzania walioko vibarazani mwa watu! ame-prove failure kama waziri..OUT! |
| 20 | Anonymous | Tafadhali ajiuzuru |
| 21 | Kitila Mkumbo | Msolla has failed us and our country; he has to go, and go now! |
| 22 | Anonymous | Ni bora huyo prof aachane na uongozi, kwasababu ni mzembe sana. |
| 23 | Anonymous | Ameshindwa, arudi akafundishe an sio kuongoza |
| 24 | Anonymous | Ajiudhuru |
| 25 | Anonymous | US | Prof Msolla ameshindwa kuongoza Wizara ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia sawasawa hasa ukilinganisha kuwa yeye ni mwanazuoni aliyebobea anayejua matatizo ya elimu ya juu nchini pale kuliko wanasiasa wengine wengi. Matatizo makubwa yaliyomshinda kusimamia ambayo yanalenga kwenye uti wa mgongo wa Wizara yake ni kuhusu welfare ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaotegemea serikali. Ameshindwa kutatu tatizo la mikopo ya wanafunzi hawa na hivyo kusababisha migomo na maandamao yasiyokuwa ya lazima na ambayo yanaathiri mazingiria ya kujifunza |
| 26 | Joseph Joachim | TZ | hauna sababu ya kua kiongzi kama ukishindwa kusaidia hata kwenye issue ndogo ya hawa watoto |
| 27 | Anonymous | TZ | |
| 28 | Mkandara | TZ | Ameshindwa kuongoza wizara yake |
| 29 | nsjigwa bonifas | TZ | |
| 30 | Beatrice Tigwela | BE | |
| 31 | kevin | GB | kama kazi imekushinda, jiuzulu mara moja |
| 32 | Anonymous | TZ | |
| 33 | Julius Magembe aka Nyani Ngabu | US | Wewe Msolla hebu achia ngazi mara moja. Huna hata haya wala ustaarabu wewe. Utakataje simu namna hiyo wakati kuna maisha ya Watanzania wenzako yako hatarini. Huna utu kabisa na hufai kuongoza. Achia ngazi mara moja kwani unaaibisha. |
| 34 | Iceberg | US | Msolla Must go Now, go go go.... you have failed Us. |
| 35 | icadon | TZ | Wakati umewadia wa Msolla kufungasha virago, asisubiri kuwajibishwa ajiuzuru mwenyewe arudi kijijini kwao akalime mahindi |
| 36 | Poel Martin | US | |
| 37 | Anonymous | CD | Nami kwa nia moja naungana na Watanzania wenzangu katika kumtaka huyo waziri ajihuzuru haraka sana |
| 38 | MOKILI JAY, | JP | Prof Msolla anatakiwa ajiuzulu kwa kushindwa kuongoza wizara muhimu.Elimu ya juu si kitu cha mchezo,elimu ndio itatuwezesha kupambana na umaskini,bila elimu mheshimiwa Msolla asingeitwa Prosefa,sasa tunataka hicho kiwango chake elimu alichokifikia pia wakipate na watu wengine wengi tu,kwa jinsi hiyo inabidi aachie ngazi ili watu wenye uchungu na nchi waongoze hiyo wizara,pia tunataka tupambane na wazembe wote serikali,hiki kizazi cha sasa si kama kile cha mwaka 47,tunajua mengi sana sasa,tupo kwenye dunia ambacho sasa hakuna kinachoweza kufichika.Enzi zenu mambo yalikuwa yanafichika,kwani hata TV hazikuwepo,leo hii tuna kila kitu cha kuwezesha kupambana na wasiojali kazi zao.Msolla,YOU SHOULD RESIGN AS SOON AS POSSIBLE,WE ARE TIRED WITH THESE KIND OF LEADERS. |
| 39 | Anonymous | TZ | he must resign |
| 40 | Mtanzania | TZ | Ajiuzulu ni aibu kwa taifa na kaka yeyey Nyerere akumsomesha asingekuwa Prof. LEO |
| 41 | JOHN MREMA | TZ | anapaswa kuwajibika ili kulinda heshima yake na pia kupisha ili mwingine aingie ili hawa vijana waweze kupewa haki yao ya kusoma.
Naamini wapo ambao wanaweza kuwasaidia hawa vijana waweze kuendelea na shule yao. |
| 42 | John Mnyika | TZ | Uovu hushamiri pale watu wema wanapokaa kimya |
| 43 | Agnes | TZ | Msolla kashindwa tumia busara/hekima na uprofesa wake kumaliza tatizo dogo la vijana alio kabidhiwa na serikali ya Tanzania kuwa shughulikia, Arudi akafundishe SUA kwenye taaluma yake uongozi hauwezi. Waachie wengine nafasi wanao weza. |
| 44 | Zawadi | TZ | TIA | hafai kabisaaa huyo msola |
| 45 | Njovu | TZ | Private | Ameshindwa kushughulikia tatizo la wanafunzi wa kitanzania Ukraine.....wapo taabani kimasomo na kiuchumi. Na aondoke. |
| 46 | Mtanzania | GB | Jamboforums | |
| 47 | Anonymous | TZ | Tanzania Commission for Science and Technology | We are equally facing the problem. My institute also falls under his ministry and he doesn't seem to be aware of how much it has been ruined down by irresponsibility. He should definitely go and he is so incapable that he should not be given any other such responsibilty for life. Hata ubunge walikosea kumchagua kwa kiwango hiki cha mawazo! |
| 48 | Egidio N | IN | Student | Kwa kifupi hana maana pale bora ajiuzulu.Haya ndio matokeo ya kuingia bungeni kwa nji za rushwa alitumia mbinu chafu kumtoa Mwamoto ili kuja kuua elimu yetu!
Jk ni fundisho kwake kwa kuchagua wasaidizi wasiofaa. |
| 49 | Ali Selemani | CA | DTT - Tanzania | Kitendo cha kusema kuwa hawatambui vijana ambao katika wakati huo wako katika hali ngumu ni cha kinyama sana. Hata kama waliondoka bila ridhaa ya serikali, wakati huu haukuwa mwafaka kwa yeye kama mwakilishi wa serikali kusema kuwa hawatambui. Alitakiwa achukue hatua za kuwaokoa halafu taratibui zingine zifuate baadae. Pili kitendo chake cha kukata simu kila suala hili linapotajwa ndo la kinyama zaidi. Hata siamini kama ana watoto na wanategemea wana baba. |
| 50 | Anonymous | CA | DTT - Tanzania | Kitendo cha kusema kuwa hawatambui vijana ambao katika wakati huo wako katika hali ngumu ni cha kinyama sana. Hata kama waliondoka bila ridhaa ya serikali, wakati huu haukuwa mwafaka kwa yeye kama mwakilishi wa serikali kusema kuwa hawatambui. Alitakiwa achukue hatua za kuwaokoa halafu taratibui zingine zifuate baadae. Pili kitendo chake cha kukata simu kila suala hili linapotajwa ndo la kinyama zaidi. Hata siamini kama ana watoto na wanategemea wana baba. |