Signatures 122 total
-
1
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: MwanakijijiCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Nawakaribisha kutia sahihi ombi hili ili hatimaye lifikishwe kwenye vyombo vya habari vya Tanzania.Flag
-
2
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Dua La KukuCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Its time ni aibu kwa Tanzania.Flag
-
3
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: AllyCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Msola ajiuzulu kwani ni dhahiri kazi imemshindaFlag
-
4
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Juma KayanzaCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Lazima ajiuzulu kwa kiburi chake.Flag
-
5
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: salim zayumbaCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
6
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: BUICountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: mie naona wengi tuu wajiuzuluFlag
-
7
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: kipangaCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Yeah we need him to resignFlag
-
8
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: BenCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: THis is very cruel and shamefully for democratic government.Amnesty International,human rights watch,plz take our hand!Flag
-
9
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Sembe, UKCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: kwa heshima ya Tanzania ajiuzulu mara moja.Flag
-
10
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Sweet BaileyCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Pamoja na Mh.Rais pia aachie ngazi kwani na yeye analielewa hili swala lakini hajachukua hatua zozote na huenda yeye ndiyo kikwazo hata kwa waziri.Flag
-
11
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Yona MaroCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Huyu jamaa ajiuzuru na hana sababu yoyote ya kuendelea kukaa madarakani na basi kama akiendelea asusiwe sehemu zote anazotembelea kuanzia vyombo vya habari mpaka washikadau njianiFlag
-
12
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: Mtu mwituCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: jiuzulu haraka kabla wakati haujakulazimisha zaidi kuondoka ukiwa na soniFlag
-
13
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: DCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Naunga mkono Msolla ajiuzulu, kashindwa kutetea ubinaadamu wa Watanzania wenzetu.Flag
-
14
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: aminaCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Mie napenda huyu jamaa anaejiita msola ajiuzulu,pia hata kikwete hajiuzulu nothing anafanya ktk uongozi wake,bola mkapa kuliko hawajama wanatumia pesa nyingi sana ktk safari zao za njeFlag
-
15
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: regina kundyCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka .Flag
-
16
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: regina kundyCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka .Flag
-
17
Name: Anonymous on May 23, 2007Name/Jina: regina kundyCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Prof. Msolla lazima ajiuzulu na wengine wafuate. Tumechoka na hawa viongozi wetu wanaochezea madaraka .Flag
-
18
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Dr.KhamisCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
19
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: MwendapoleCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Sio suala la hiari..Msolla ajiuzulu kunusuru heshima ya watanzania walioko vibarazani mwa watu! ame-prove failure kama waziri..OUT!Flag
-
20
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Mohamed HassanCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Tafadhali ajiuzuruFlag
-
21
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Kitila MkumboCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Msolla has failed us and our country; he has to go, and go now!Flag
-
22
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Edgar MwambeneCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Ni bora huyo prof aachane na uongozi, kwasababu ni mzembe sana.Flag
-
23
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Mimi MwenyeweCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Ameshindwa, arudi akafundishe an sio kuongozaFlag
-
24
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Mohamed IssaCountry/Nchi :Taasisi yako/Institution:Comments/Maoni: AjiudhuruFlag
-
25
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: KichuguuCountry/Nchi : USTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Prof Msolla ameshindwa kuongoza Wizara ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia sawasawa hasa ukilinganisha kuwa yeye ni mwanazuoni aliyebobea anayejua matatizo ya elimu ya juu nchini pale kuliko wanasiasa wengine wengi. Matatizo makubwa yaliyomshinda kusimamia ambayo yanalenga kwenye uti wa mgongo wa Wizara yake ni kuhusu welfare ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanaotegemea serikali. Ameshindwa kutatu tatizo la mikopo ya wanafunzi hawa na hivyo kusababisha migomo na maandamao yasiyokuwa ya lazima na ambayo yanaathiri mazingiria ya kujifunzaFlag
-
26
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Joseph JoachimCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: hauna sababu ya kua kiongzi kama ukishindwa kusaidia hata kwenye issue ndogo ya hawa watotoFlag
-
27
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: mCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
28
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Bernard Muakei a.k.a MwanakijijiCountry/Nchi : USTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Ni lazima Prof. Msolla ajiuzulu!!Flag
-
29
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: MkandaraCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Ameshindwa kuongoza wizara yakeFlag
-
30
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: nsjigwa bonifasCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
31
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Beatrice TigwelaCountry/Nchi : BETaasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
32
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: kevinCountry/Nchi : GBTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: kama kazi imekushinda, jiuzulu mara mojaFlag
-
33
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: IcadonCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
34
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: Julius Magembe aka Nyani NgabuCountry/Nchi : USTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Wewe Msolla hebu achia ngazi mara moja. Huna hata haya wala ustaarabu wewe. Utakataje simu namna hiyo wakati kuna maisha ya Watanzania wenzako yako hatarini. Huna utu kabisa na hufai kuongoza. Achia ngazi mara moja kwani unaaibisha.Flag
-
35
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: IcebergCountry/Nchi : USTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Msolla Must go Now, go go go.... you have failed Us.Flag
-
36
Name: Anonymous on May 24, 2007Name/Jina: icadonCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Wakati umewadia wa Msolla kufungasha virago, asisubiri kuwajibishwa ajiuzuru mwenyewe arudi kijijini kwao akalime mahindiFlag
-
37
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: Poel MartinCountry/Nchi : USTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni:Flag
-
38
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: GREGORY GABONECountry/Nchi : CDTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Nami kwa nia moja naungana na Watanzania wenzangu katika kumtaka huyo waziri ajihuzuru haraka sanaFlag
-
39
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: MOKILI JAY,Country/Nchi : JPTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Prof Msolla anatakiwa ajiuzulu kwa kushindwa kuongoza wizara muhimu.Elimu ya juu si kitu cha mchezo,elimu ndio itatuwezesha kupambana na umaskini,bila elimu mheshimiwa Msolla asingeitwa Prosefa,sasa tunataka hicho kiwango chake elimu alichokifikia pia wakipate na watu wengine wengi tu,kwa jinsi hiyo inabidi aachie ngazi ili watu wenye uchungu na nchi waongoze hiyo wizara,pia tunataka tupambane na wazembe wote serikali,hiki kizazi cha sasa si kama kile cha mwaka 47,tunajua mengi sana sasa,tupo kwenye dunia ambacho sasa hakuna kinachoweza kufichika.Enzi zenu mambo yalikuwa yanafichika,kwani hata TV hazikuwepo,leo hii tuna kila kitu cha kuwezesha kupambana na wasiojali kazi zao.Msolla,YOU SHOULD RESIGN AS SOON AS POSSIBLE,WE ARE TIRED WITH THESE KIND OF LEADERS.Flag
-
40
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: willium nyamusiCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: he must resignFlag
-
41
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: MtanzaniaCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Ajiuzulu ni aibu kwa taifa na kaka yeyey Nyerere akumsomesha asingekuwa Prof. LEOFlag
-
42
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: JOHN MREMACountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: anapaswa kuwajibika ili kulinda heshima yake na pia kupisha ili mwingine aingie ili hawa vijana waweze kupewa haki yao ya kusoma. Naamini wapo ambao wanaweza kuwasaidia hawa vijana waweze kuendelea na shule yao.Flag
-
43
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: John MnyikaCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Uovu hushamiri pale watu wema wanapokaa kimyaFlag
-
44
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: munezero kanyangemuCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: msolwa msenge huyo jamaa,yeye anafikiri kuwa prof. ndo kamaliza kila kitu. inabidi afahamu kuwa one time he will be down,na anahitaji msaada wa watu,and he will be denied it. what goes around comes around.Flag
-
45
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: AgnesCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution:Comments/Maoni: Msolla kashindwa tumia busara/hekima na uprofesa wake kumaliza tatizo dogo la vijana alio kabidhiwa na serikali ya Tanzania kuwa shughulikia, Arudi akafundishe SUA kwenye taaluma yake uongozi hauwezi. Waachie wengine nafasi wanao weza.Flag
-
46
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: ZawadiCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution: TIAComments/Maoni: hafai kabisaaa huyo msolaFlag
-
47
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: NjovuCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution: PrivateComments/Maoni: Ameshindwa kushughulikia tatizo la wanafunzi wa kitanzania Ukraine.....wapo taabani kimasomo na kiuchumi. Na aondoke.Flag
-
48
Name: Anonymous on May 25, 2007Name/Jina: MtanzaniaCountry/Nchi : GBTaasisi yako/Institution: JamboforumsComments/Maoni:Flag
-
49
Name: Anonymous on May 26, 2007Name/Jina: John MahegereCountry/Nchi : TZTaasisi yako/Institution: Tanzania Commission for Science and TechnologyComments/Maoni: We are equally facing the problem. My institute also falls under his ministry and he doesn't seem to be aware of how much it has been ruined down by irresponsibility. He should definitely go and he is so incapable that he should not be given any other such responsibilty for life. Hata ubunge walikosea kumchagua kwa kiwango hiki cha mawazo!Flag
-
50
Name: Anonymous on May 26, 2007Name/Jina: Egidio NCountry/Nchi : INTaasisi yako/Institution: StudentComments/Maoni: Kwa kifupi hana maana pale bora ajiuzulu.Haya ndio matokeo ya kuingia bungeni kwa nji za rushwa alitumia mbinu chafu kumtoa Mwamoto ili kuja kuua elimu yetu! Jk ni fundisho kwake kwa kuchagua wasaidizi wasiofaa.Flag