| # | Name | Comments |
|---|
| 51 | Louis Nyalifa | It's a shame such thing still happen in the world and Tanzania in particular. A dent in our image as a tolerate peacing loving nation. |
| 52 | Philemon Matondo | Sifurahishwi kabisa kuona hali hii ikiendelea kutoke maana ni mambo ambayo pia yanadhalilisha nchi. pengine kimsingi kabisa ni kwa sababu ya imani potovu za kishirikina na kwa sababu ya maisha yaliyo magumu. tunaamini sana ushirikina na wengi wetu wanaenda kwa waganga kutafuta namna ya kufanya maisha yaende vizuri hasa kiuchumi kwa mantiki hiyo basi muhusika anaposhawishiwa na mganga kufanya mauaji kama hayo kwa matumaini ya kufanikiwa mara tu anapofanya ukatili kama huu. Pendekezo langu basi ni kwamba kuwepo na hatua za makusudi kabisa na kuelimisha jamii juu ya namna gani anaweza akazaliwa albino na kwamba naye process za utungwaji wa mimba yake kama tu kwa yeyote ambaye hata siyo albino, hii ni kazi ninayotaka kuwapa na kuwashawisha wanabiology wote kufanya kazi hii ya mungu juu ya jambo kama hili lisilo faa hata kidogo |
| 53 | mfilinge | hii ni aibu kwa taifa na raia wake kwa ujumla,nchi ambayo ilisikika kuwa kisiwa cha amani na kimbilio la wenye shoda lakini leo kumegeuka kuwa kama msituni ambako baadhi ya wanyama hufanya aina nyingine ya anyama wasiishi kwa amani kutokanatu na imani potofu na umaskini wa fikra.
serikali inao uwezo wa kudhibiti hili kama tu ikiamua na sidhani kama hii kitu inashindikana kuzuiwa,basi sote tuungane kwa sauti moja kupinga mauji ya hawa ndugu zetu na wafikishe mahala husika wale wato wanaoshiriki vitendo hivi vya kinya kama ilivyo kuwa kwa wachuna ngozi. |
| 54 | Anonymous | Tunaomba serikali iongeze juhudi za kupambana na janga hili ambalo limeshakuwa la kitaifa kwani albino nao ni binadamu na wana haki ya kuishi kwa amani kamanchi yetu ilivyo ya amani. |
| 55 | Anonymous | ni vizuri serikali iwajibike.maana wao wakiamua kitu lazima kitekelezwe.wanaofanya hivyo ni wafanya biashara na kwanini wanaachiwa kufanya ushirikina kwa kutumia watoto wa wenzao wawaue watoto wao kwanza.Nailaumu serikali yetu kwa kuwakumbatia hawa watu wanaofanya hayo mambo kwani inawezekana pia kuna baadhi ya viongozi wanashiriki ndio maana inanyamaza.Moja ni kwamba mtu akikamatwa kahusika yeye pamoja na wasaidizi wake na mganga wake wauwawe,ile hukumu ya vibaka wapewe wao. |
| 56 | Adamson Manjira | Huu ni udhalilishaji wa ubinadamu naulaani kwa nguvu zote,na serikali inapaswa kupambana na hali hiyo kama hualifu mwingine wowote.Inatia aibu kwa sisi wananzania wote . |
| 57 | Anonymous | Mauaji haya ni ya aibu mno.Nasikitika kwamba jesho la polisi pamoja na serikali mpaka sasa wameshindwa kuwatia mbaroni wanaoendeleza mauaji hayo.Walaaniwe wote. |
| 58 | HASHIM MARUSU MAZENGO | Wakati umefika kwa watanzania kuoyesha mshikamano hasa wakati tunawapoteza wenzetu kwasababu za kishirikina. Nipo teali kuwa mstari wa mbele hata kupinga ufisadi.
KUNA WIMBO WENU UNAITWA NGUVU ZA GIZZA, MWENDE MKAUCHUKUE AT
myspace.com/hashmotherlander
Asanteni kwa nafasi hii.
HASH.. |
| 59 | Cpwaaa | Binadamu wote wana haki sawa.Bila kujali rangi,kabila,ulemavu wala jinsia.Albinos have the rights to live like anyone else. |
| 60 | Anonymous | Stop this inhuman actions! |
| 61 | Kidawa Mussa | jamani acheni ujinga huu hayo mauaji hayatokupa utajiri wala nini, besides kwa nini msitafute utajiri kwa njia nyingene but killing the poor Albino, nawashangaa sana wenzangu watanzania this is so sad na hao wauwaji wachukuliwe hatua kali, tusiwaache hivi hivi tusije tukafika mbali. watu tuna vikosi tutaleta fujo mpaka mauaji yaishe msilete mchezo!!, damu ya mtu ni thamani zaidi ya pesa yoyote ile. |
| 62 | Kidawa Mussa | jamani acheni ujinga huu hayo mauaji hayatokupa utajiri wala nini, besides kwa nini msitafute utajiri kwa njia nyingene but killing the poor Albino, nawashangaa sana wenzangu watanzania this is so sad na hao wauwaji wachukuliwe hatua kali, tusiwaache hivi hivi tusije tukafika mbali. watu tuna vikosi tutaleta fujo mpaka mauaji yaishe msilete mchezo!!, damu ya mtu ni thamani zaidi ya pesa yoyote ile. |
| 63 | Anonymous | |
| 64 | Anonymous | |
| 65 | anna | its really bad!this people who are doing this have to be condemned!!! |
| 66 | Brade | |
| 67 | Anonymous | serikali iongeze juhudi za kupambana na janga hili |
| 68 | Edward Manega | Albinos ni "God's Precious Creations" kama sisi. |
| 69 | Adam | |
| 70 | Benjamin Carew Luke | It is time that we all realize the value of life. This is morally wrong, and it keeps me wondering what era are we living in. God bless Tanzania. |
| 71 | MWAJABU A.DALLO | nashiriki kupinga mauaji ya alibino tanzania |
| 72 | Marcin JarzÄ…bek | |
| 73 | msafiri | yaani sheria ibadilishwe kwa haraka ili anayemtamani aukumdhuru albino, ashughulikiwe
haraka. KWANZA SI BUSARA KUFANYA BIASHARA YA BINADAMU AU VIUNGO VYAKE!!!!!!!!!!!!!
WABONGO MUWE NA HURUMA!!!!!!
MUOGOPE MUNGU ATAWAHUKUMU!!!
TAMAA MBELE MAUTI NYUMA.............................. |
| 74 | roseline |
| 75 | Anonymous | Serikali ichukue hatua stahilivu ili kuhakikisha usalama wa maalbino umeimarika, Hii ni pamoja na kuharakisha kesi zote zinazohusiana na mauaji haya pia hukumu zizingatie uzito wa tukio lenyewe na si siasa. |
| 76 | Anonymous | Serikali ichukue hatua stahilivu ili kuhakikisha usalama wa maalbino umeimarika, Hii ni pamoja na kuharakisha kesi zote zinazohusiana na mauaji haya pia hukumu zizingatie uzito wa tukio lenyewe na si siasa. |
| 77 | Anonymous | Serikali ichukue hatua stahilivu ili kuhakikisha usalama wa maalbino umeimarika, Hii ni pamoja na kuharakisha kesi zote zinazohusiana na mauaji haya pia hukumu zizingatie uzito wa tukio lenyewe na si siasa. |
| 78 | FIDELIS | please invite me to rallies am in kenya |