The petition
Kwa siku kadhaa Moderator wa Chatzone anayejulikana kam Snickly amekuwa akiwa nyanyasa watu kwa sababu zisizo na msingi, baadhi ya sababu hizo ni
Mtu kumsalimia kwa kiswahili
Kuwa mkali pindi anapoulizwa swali asilopenda
Kuwa mjeuri na kutokubaliana na hali halisi.
Naomba wale wote wanaotaka snickly aondolewe Darhotwire wasign hii petition na tukipata idadi ya majina 200 tunayapeleka kwa wahusika.
Sign the petition
Fields marked * are required.