Powered by iPetitions - start your online petition now

The petition


Balozi zetu nyingi zinalalamikiwa kwa kutowajali Watanzania na kutoa huduma duni za kibalozi na ushirikiano kwa Watanzania katika nchi zilizopo. Ubalozi ambao bila ya shaka unaongoza malalamiko hayo ni ubalozi wa Tanzania nchini Marekani ambapo mkuu wake ni Balozi Andrew M. Daraja.

Kwa kuzingatia ukweli kuwa Balozi Daraja ameshindwa vibaya katika mambo kadhaa ambayo yanaanishwa hapa: http://www.mwanakijiji.podomat... Miongoni mwa hayo:

a. Kushindwa kutekeleza diplomasia ya Kiuchumi kama ilivyoelekezwa na Wizara ya Mambo ya nje kwa kutumia makabrasha mbalimbali na semina ya mabalozi ya Bagamaoyo.

b. Ameshindwa kujenga mahusiano na Watanzania waishio Marekani na hivyo kutowatumia ipasavyo katika kutekeleza diplomasia ya kiuchumi na hivyo kusababisha Watanzania kutokuwa na imani na balozi huyo.

c. Ameshindwa kutumia nafasi iliyopo ya uhusiano mzuri kati ya Marekani na Tanzania kunufaisha Tanzania kwa kuvutia watalii wengi zaidi na wawekezaji wengi zaidi na biashara ya Marekani kwa kutumia AGOA, mkataba wa Anga huru.

Hivyo basi sisi Watanzania tunatoa mwito wa kumtaka Balozi Daraja ajiuzulu au Rais aamua kumwondoa katika wadhifa huo muhimu ili kutoendelea kupoteza muda mwingi.

Sign the petition

Fields marked  *  are required.

* Name:
* Email:
Comments:
* Je, Unafikiri Prof. Msolla ajiuzulu kutokana na sababu zilizotolewa na nyingine nyingi?:  
  Hapana
  Ndiyo
  Sifikiri lolote
Display my name as anonymous on the signatures list
Yes, I want iPetitions to contact me on similar campaigns or petitions.
  
 

 

Petition sponsor

Mwito huu unadhaminiwa na KLH News, Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani, Baraza la Gumzo, na Uwanja wa Mapambazuko. Wadhamini wengine ni jambophotos.com na jamboforums.com

 

Links

http://www.mwanakijiji.podomat...
http://www.blog.co.tz/mapambaz...
http://www.phpbbcity.com/forum...
www.jamboforums.com
www.jambophotos.com
www.bongoradio.com

 

The views expressed in this petition are solely those of the petition's sponsor and do not in any way reflect the views of iPetitions. iPetitions is solely a provider of technical services to the petition sponsor and cannot be held liable for any damages or injury or other harm arising from this petition. In the event no adequate sponsor is named, iPetitions will consider the individual account holder with which the petition was created as the lawful sponsor.